Kahama VS Njombe/Mafinga

Mzigo huko 8, matoleo ya 9. michomoko ya nondo ni mirefu baada ya 8, inaashiria la 9 lipo counted
ww itakuwa umehesabu na ground af panapokuchanganya ni pale floor ya juu ukiona kwny picha unahis zipo 2 kumbe ni moja
 
Leo kidogo nawapa kamradi watu wa Mwanza mjifariji kidogo na pesa za EU πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-080311.png
    108.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220925-080457.png
    53.8 KB · Views: 13
Mbeya kunufaika na Pesa za EU kwa kupita corridor inaitwa Mbeya-Kasama Corridor πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-080311.png
    108.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220925-080544.png
    64.6 KB · Views: 9
Huku Kahama vimejaa mtaani yaani, hlni viwanda sawa na vile vya cherehani 3 tu. [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mwenyew nmeshangaa hadi bakery analeta kwa jukwaa🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…