The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sasa ndio umeandika nini? ππ.Jibu ni Moja NFS sio mmiliki WA njombe .
Ni mjinga Sana huyo jamaa, Kampuni yenyewe inaitwa Njombe filling Station na iko mzigoni kitambo sana..Wa njombe huyo mzee unabisha Nini nfs Ina maana njombe filling station na karibu anafikisha shell 20 Tanzania na tank zake zimeandikwa karibu mkoa wa njombe
Wewe nilishakwambia kwenye hii sekta Njombe ilishavuka zamani sana..Shell ya mtu binafsi tajiri moja lenye hela zake hapa ....View attachment 2345509View attachment 2345510
Mexons Building Njombe town πKwenye Petro station tushapiga tatu bila ..njoo kwenye majengo ya kibiashara
ISAKA ROAD ..View attachment 2345516View attachment 2345518
Mexons Building Njombe town
Wadau wa Shinyanga wakiielezea Kahama ilivyo
Jengo lipi nimerudia? Jengo hili na petrol station ni majengo mawili tofauti acha kulia lia..unarudia vijengo ushenzi vya hapo sheli hahahaha
Kahama nzima ina tumajengo 4 tuu tuzuru ππππHili sio jiji ..hii ni manispaa Mpya ya kahama .. investment ya nssf haijapelekwa jijini mbeya ,ila imewekwa kahama ...... kusini ukiniletea jengo kama hili nitag.. NSSSF hawana muda na kusiniView attachment 2345774
π¬π¬π¬π¬ Yaani haka kajengo ndionaita tower?.Oh ulisema .nikileta jengo la ghorofa nne unaacha kuchangia Uzi. We ata usipoacha .. shauri lako ila kahama ni kaa mbali na watoto . ..niletee mzigo kama huu njombe ,viazi town yenu hyo ya mchongo
MACHALI TOWER ..View attachment 2345770View attachment 2345771
Twa kwenu kumi tuzuri tukowapi ,,,,leta mizigo kama hyo hapo juu ,,Kahama nzima ina tumajengo 4 tuu tuzuru
Hiki kigorofa mavi ndo unapost humu..weka complex kama hyo ya machali na NSSF tukuone ..hicho kijengo chako hata injia hajaumiza akili kujenga..nahisi kimejengwa na mafundi ujenzi tu wa hapo ramadhaniYaani haka kajengo ndionaita tower?.
Na hili mtaitaje? Super tower au?
Nikianza kuweka hapa utakimbia..Twa kwenu kumi tuzuri tukowapi ,,,,leta mizigo kama hyo hapo juu ,,usitulete tughorofa twenu twa mchongo...leta tower..najua unaelewa maana ya tower na jua sio kila ghorofa ni tower
Nssf Njombe πHiki kigorofa mavi ndo unapost humu..weka complex kama hyo ya machali na NSSF tukuone ..hicho kijengo chako hata injia hajaumiza akili kujenga..nahisi kimejengwa na mafundi ujenzi tu wa hapo ramadhani....leta multibilion complex kama hizo
Utarudia picha Hadi maji uyaite mma ...nataka jengo Moja tu la multibilion ,,,kama NSSF au Machali ....,Nikianza kuweka hapa utakimbia..