Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa yupo ndani ya mkoa wa njombe unaaenda speed ana ziara ya siku nne na kuna mtu humu ndani alisema ohoo rais akitangulia njombe kabla ya kahama anajitoa ndo ajitoe sasa tuliwambia kwa sasa mkoa wa njombe ni mkoa wa kimkakati
 
Samia atakuwa amemind sana aisee, ndo maana alikuwa haji, shughuli ya kuzindua chuo cha ufundi stadi nayo ni ya Rais!! Hata hivyo ndo tumiradi tulitopo hamna namna.
Wivu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..Hakuna Mradi wa kusema huu ni WA Rais na ule wa nani sijui, Mwendazake alikuwa anazindua vituo vya afya vyenye thamani ya mil.500 sembuse VETA yenye zaidi ya Bil.2?

Nataka unionyeshe shughuli ya barabara iliyozunduliwa na Rais huko kwa maskini wenu..

Kusini Kumetengwa😁😁 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-191830.png
    169.5 KB · Views: 11
  • 20220807_191842.jpg
    175.1 KB · Views: 11
  • 20220807_191845.jpg
    252.3 KB · Views: 12
  • 20220807_191848.jpg
    72.9 KB · Views: 13
Samia atakuwa amemind sana aisee, ndo maana alikuwa haji, shughuli ya kuzindua chuo cha ufundi stadi nayo ni ya Rais!! Hata hivyo ndo tumiradi tulitopo hamna namna.
Mbona eais wa WB alizindua chuo cha ufundi vhato,...na hayati akafungua chuo vha ufundi namtumbo kule
 

Attachments

  • 20220809_073335.jpg
    65.7 KB · Views: 15
  • 20220809_073330.jpg
    54.2 KB · Views: 16
  • 20220809_191206.jpg
    209.7 KB · Views: 16
Tutaelewana tuu ,Najua mkisikia na kuona hivi mnatamani Ardhi ipasuke mjifiche kwa wivu 😜😜..

Vumilieni mpate dozi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220809-074615.png
    103.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220809-074339.png
    79.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220807-173900.png
    83.6 KB · Views: 13
Ulitegemea azindue nini Sasa wakati ndo tumiradi tulitopo
ila kelele zenu humu nyie watengwa ni ishara ya kipofu kaona mwezi.
 
Ulitegemea azindue nini Sasa wakati ndo tumiradi tulitopo
ila kelele zenu humu nyie watengwa ni ishara ya kipofu kaona mwezi.
Wivu utakuua wewe Mzee..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kusini kumetengwa πŸ˜πŸ˜¬πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220809-170322.png
    199.2 KB · Views: 14
  • 20220809_073335.jpg
    65.7 KB · Views: 14
  • 20220809_073330.jpg
    54.2 KB · Views: 13
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…