Kama hiziMwanza to dar KAMPUNI 25
Tungis express
Osaka Raha
Happy national
Zuberi trans
Kisesa express
Kisbo
Kibo safaris
Travel partners
Isamilo express
Fikoshi express
Phoenix
Tanzanite
Kvc safari
Kidia one
Nyehunge express
Ally's star bus
Falcon
Kandahar
Fresters
super najmunisa
Abood express
premier line
Kandahar investment
ππ Sasa wewe mara urudie rudie mara utaje zinazopitia kwenda Bukoba,Musoma nk..Mwanza to dar KAMPUNI 25
Tungis express
Osaka Raha
Happy national
Zuberi trans
Kisesa express
Kisbo
Kibo safaris
Travel partners
Isamilo express
Fikoshi express
Phoenix
Tanzanite
Kvc safari
Kidia one
Nyehunge express
Ally's star bus
Falcon
Kandahar
Fresters
super najmunisa
Abood express
premier line
Kandahar investment
Kampuni za Mwanza hazizidi 12 ,hizo zingine zinapitia tuu.
Sasa wewe mara urudie rudie mara utaje zinazopitia kwenda Bukoba,Musoma nk..
Nataka zinazoishia Mwanza tuu,ukitaja hizo manake nianze kutaja zinazoishia Tunduma,Kyela,Chunya, Sumbawanga,Lusaka,Harare
Huna facts .zinapitia kwenda wapi ,,,,,musoma mabasi yake hata sijayatajaKampuni za Mwanza hazizidi 12 ,hizo zingine zinapitia tuu.
Bukoba wanapitia kahama...taja kampuni zinazoenda musoma hapoKampuni za Mwanza hazizidi 12 ,hizo zingine zinapitia tuu.
Kisbo,Osaka,Falcon.Nipe picha ya hizo bus zikiwa zimeandikwa Dar-Mwz.ushaanza kujitetea ,zip zinazoishia musoma ..na uache ushamba aliekuambia basi za bukoba zinapitia mwanza nani
AdditionalKisbo,Osaka,Falcon.Nipe picha ya hizo bus zikiwa zimeandikwa Dar-Mwz.
Kandahar unarudia mara mbili mbili.
Umeshindwa kuweka ushahidi unakuja kutunga kampuni zingine ππ¬Additional
alpha bus
kambas
Luck star
Green star
Princes shabah
TOTAL 27
Kisbo hyo ..sema sijapata picha zake badoUmeshindwa kuweka ushahidi unakuja kutunga kampuni zingine
Ondoa Green star,Kambas zimeshajifia.
Hamtuwezi kwenye bus hata ukipachika kampuni hewa ππ.Mbeya mmkalia misumari ...yaani hampumui , kwenye ndege hoi ,kwenye mabus mlikokuwa mnategemea mmekula za uso
Hamtuwezi kwenye bus hata ukipachika kampuni hewa.
Vyuma hivyoo
Huna ushahidi unakuja na kampuni hewa za kutunga zingine zinaenda hadi Burundi ππ..eti kampuni hewa
Eti za kutunga ..nenda stendi kama hujazikita ..unadhan serikali ni wajinga kujenga stendi mbili ndani ya mji mmojaHuna ushahidi unakuja na kampuni hewa za kutunga zingine zinaenda hadi Burundi..
Au na mimi niongezee Taqwa,Classic,Royal nk zinasoenda Harare,Lusaka, Lubumbashi,South nk?
Njoo huku Boda ya Kasumulu-Kyela mtoe ushamba nyie πEti za kutunga ..nenda stendi kama hujazikita ..unadhan serikali ni wajinga kujenga stendi mbili ndani ya mji mmoja
Dar lux ipo wapi hapo mkuu usafiri wangu pendwa pia kuna makampuni mengi tu umeacha.Mwanza to dar KAMPUNI 25
Tungis express
Osaka Raha
Happy national
Zuberi trans
Kisesa express
Kisbo
Kibo safaris
Travel partners
Isamilo express
Fikoshi express
Phoenix
Tanzanite
Kvc safari
Kidia one
Nyehunge express
Ally's star bus
Falcon
Kandahar
Fresters
super najmunisa
Abood express
premier line
Kandahar investment
Naona mnapita kimya kimya huku mumenuna π¬π¬π¬π¬..Dar lux ipo wapi hapo mkuu usafiri wangu pendwa pia kuna makampuni mengi tu umeacha.