Kahama VS Njombe/Mafinga

Ahahahaaaa uoni aibu kusema unamtegemea Biteko???? Fanya research yako kwanza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unaweweseka,ulitaka nikutegemee wewe?

Kwa hiyo wewe na Biteko nani anasimamia sekta ya madini? 😁😁..

Mtajua hamjuiπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-100105.png
    44.3 KB · Views: 13
Eti najmunisa kafa
Nimeweka Orodha ya kampuni 20 zinazofanya safari za Dar-Mbeya, kampuni ya Newforce mabasi 7 kwenda na Kurudi Mbeya kutoka Dar kila siku.

Weka hapa za Mwanza-DarπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-103258.png
    43.3 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220807-104414.png
    113.3 KB · Views: 13
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ingia You tube hapo tafuta Ziara ya Rais Chunya utasikia kaongea kila sehemu waliposimama..

Ningeiweka hapa sema ni kubwa Sina ujanja wa kuipunguza.
Unaishi na kauli za kisiasa na unajaa humo humo , hata angekuwa Singida angesema Singida ni ya pili nyuma ya Geita
 
Unaishi na kauli za kisiasa na unajaa humo humo , hata angekuwa Singida angesema Singida ni ya pili nyuma ya Geita
Unaweza kutoa taarifa ya Uongo mbele ya Rais?

Haya nipe Takwimu za June 2021 naona mnafarijiana na za machi.
 
Usafiri wa ahueni ni ndege? Hiv we jamaa utakuwa na chawa mpaka lini? Kuwa na akili kidogo basi....

Hiv unajua nauli ya ndege dar tu bukoba?

Hebu nikusaidie labda

Nauli ni mara tatu ya nauli ya basi? Kama ni kuwahi watu bukoba wanawahi wap...

Mbona sio musoma, wala songea wala kigoma...


Ishu ni kwamba watu wenye asili ya bukoba ni middle income na high income kuliko huko kusini
 
Ntakuwa Chawa mpaka siku Mtakaposanda na kunionyesha mabasi mengi ya Mwanza-Dar maana nimeshakuwekea kampuni 21 hapo juu za Dar-Mby

Sasa wewe kwa akili yako Mbovu mtu wa middle class atachagua usafiri gani Kati ya kulipa 180,000 return ticket kwa bus akae njiani siku 2 na kulipa 370,000 return ticket kwa ndege afike kwa dakik?.

Kajamba nani ndio utalipa 180,000 ufike umevimba na kiuno kinauma miguu 😁😁😁😁
 
Dar Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220807-104302.png
    203.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220807-095014.png
    215.7 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220807-094656.png
    172.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220807-093949.png
    155.1 KB · Views: 14
Mwanza to dar KAMPUNI 25
Tungis express
Osaka Raha
Happy national
Zuberi trans
Kisesa express
Kisbo
Kibo safaris
Travel partners
Isamilo express
Fikoshi express
Phoenix
Tanzanite
Kvc safari
Kidia one
Nyehunge express
Ally's star bus
Falcon
Kandahar
Fresters
super najmunisa
Abood express
premier line
Kandahar investment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…