Tulishatoka huko zamani sana..Huku sasa hv wananchi ndo wanafanya maendeleo ,,hatusubili tena pesa za uviko 19 ..sijui IMF ,,,chini ya RC komando ...wananchi wameamua kuwa wazalendoView attachment 2303796View attachment 2303800View attachment 2303803View attachment 2303804
Hakuna kitu kule mkuu,utakuta wamerundikana barabarani kila mtu kambale no order at all afu wanakwambia ndio kuchangamka Mji π¬π¬.NJOMBE on the move.wale wa kahama watulipe na hii basi
Naona unatupostia dissertation ..Hu ndo mkoa wa njombe kutokana na fursa zilizopo zimepelekea halmashauri nne kuungana kimakazi kati ya sita zinazounda mkoa mambo Ni Moto mkoa upo kasi sana
View attachment 2304008View attachment 2304009View attachment 2304010View attachment 2304012View attachment 2304013
Instanbul aione kwenye faili π¬π¬eti huu ndio mji uliopewa hadhi makao makuu ya mkoa tangu 1969 π π π
Hakuna jipya,Radar kama hiyo ipo Songwe Intel Airport pia.Radar ... international inaweza kudetect hadi south SudanView attachment 2304825
Hii ligi huiwezi..We are connected with classic coaches... transport here is well organizedView attachment 2304815View attachment 2304816