ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,285
- 88,307
- Thread starter
-
- #21
Hata kama madini yapo sio mengi kwa kiasi hicho, Buzwagi ndio hiyo inakauka miaka michache ijayo kutapauka, pili Kahama sio mji wa transport hub Kama Njombe ni suala la muda tu Kahama itapauka wakati Njombe ndio kuna kucha hivyo. Pindi barabara za Njombe/Itoni kudewa mbamba bay, Njombe Ifakara mikumi na Njombe makete Mbeya zikikamilika zitakuwa ni ufunguo mkubwa sana huku kwa fursa.Kahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama kahama?
.
Una bahati mbaya nakujua njombe πππ kahama iko juu
Siyo kwa Kahama labda huko Njombe.Ukuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki
HahahaaasMiji yote ina UKIMWI wa hatari
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?Sio mbali wewe nimeishi mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga
Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa ko tofautisha kukimbia na kutembea.Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa mbamba bay na Njombe makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona ππππKalinganishe mij yenu ya kenya, wewe kwenye jukwaa la Kenya kazi yako si huwa ni kuiponda Tanzania sasa unalinganisha miji yetu ya nn
ichoboy01 joto la jiwe
laizerg spencer redeemer
Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
Tuweke picha za Njombe (mkoa) na Kahama (wilaya) tuone ipi iko vizuri sawa?Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
ChoiceVariable mwadela bhabha πππNaifahamu njombe sana sana..kuna miaka biashara ya mbao ilikua juu vby sana sana..naijua hii biashara ...lakini huwez ifananisha Njombe na Kahama..mayb weka battle la Njombe na Mafinga..na mafinga itaibuka kidedea...! njombe imekuwa uswekeni..zaman kina mama walikua wanajiita mama mbao sasa hv watu wanaenda na aluminium and the like...uliza wauza mbao wa pale mwnge kama wanauza kma 7yrs ago!
Kwa picha ni kweli Njombe kuko poa...wewe toa huo ueden endeleeni kulima "fitofu"Umesoma hizo points hapo juu au unajifariji wakati unajua yajayo kwa Kahama yanahuzunisha.
Usifananishe nchi ya ahadi(Njombe) iliko bustani ya Eden(kitulo) na vitu vya kijinga kijinga walikojaa maskini
Kama nakuelewa hivi, watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.Sio mbali wewe nimeishi mwanza 3 yrs ni only 160 km to Shinyanga
Miji hiyo kupitwa au hapana ni factor ya growth rate ambapo kwa sasa iko favourable kwa Njombe kuliko Songea na Iringa ko tofautisha kukimbia na kutembea.Imagine barabara ya Njombe Ifakara na Njombe kudewa mbamba bay na Njombe makete Mbeya zikikamilika hiyo speed ya ukuaji itakuwa mara mbili ya sasa wakati Iringa na Songea hakuna jipya barabara zake kuu ziko operational tayari
Kama nakuelewa hivi, Watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
Hippie hippie hooray!π€πManengelo π
Soft Soft Softlay!Hippie hippie hooray!π€π
Kama JK [emoji16]Mbona mtoa mada umekuja na majina yako mfukoni?
Na road ya Ifakara ikikamilika na Mbeya, Makete Njombe ikimalizika movements za biashara zitakuwa kubwa sana kati ya Mbeya Njombe Ifakara lazima vumbi liwatimkie watu wa Songea na Iringa maana hata mabus ya Dar yata skip kupitia Iringa sasa yatapitia Njombe na Ifakara to mikumiKama nakuelewa hivi, Watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]