Kahama VS Njombe/Mafinga

Punguza hasira we panya road mpanda miti, sura nyeusi iliyochanganyika na ukimwi, nitajie tajir wa kikinga aliyepo pale Kahama au mchaga anayekimbiza pale Kahama...
 
Takwimu tu hizo mikoa ya nyanda za juu kusini yooote imefunikwa na kanda ya ziwa kwa kila kitu.
.
Mkileta mashamba ya mbao sijui nini naleta migodi mfe na kihoro
 
uzuri wake hao wafupi ndo wanaoiteka kariakoo sasa hv, wana akili hatariii, kuliko nyie mangongoti harafu ma vilaza, huku taaluma ipo vzr pia
Huhuhuhuhu hivi Njombe kuna shule gani inayofanya vizuri hata y binafsi tu, kahama zipo hadi kero
.
Alafu kwenye huu mpambano Mafinga ipo mbona mnaisahau sana
 
Nilikuwa nazingua Mbeya ni mbaya very disorganized yaani ni large slams inasikitisha kuona jiji kama lile lina miti mingi lakini wameshindwa lilipanga
Mimi naona ili kupunguza ubaya wa Mbeya lile eneo la mashamba kuanzia uyole hadi sae walipange na wajenge makazi ya matajiri yaani iwe satellite city zaidi ya hapo hakuna eneo jingine la wazi lililopo mjini
Hata hivyo Mbeya ina madiwani nk kwa nini hawaoni haya ili kuchukua hadhari mapema ujenzi holela lakini hakuna wanachofanya tuwaache hivyo hivyo na jiji uchwara lenu.Ishu ya vumbi ni asili ya udongo wa Mbeya unamomonyoka ukukauka hiyo haitakaa iishe
 
Huhuhuhuhu hivi Njombe kuna shule gani inayofanya vizuri hata y binafsi tu, kahama zipo hadi kero
.
Alafu kwenye huu mpambano Mafinga ipo mbona mnaisahau sana
rejea takwimu za necta miaka mitatu ya hv karibuni, usijiondoe ufahamu. Top ten mikoa bora kwa ufaulu, pia rejea takwimu za kiuchumi mwezi ulopita njombe ya ngapi kwa maisha bora, harafu linganisha na kwa mafukara wa kahama.
 
Huhuhuhuhu hivi Njombe kuna shule gani inayofanya vizuri hata y binafsi tu, kahama zipo hadi kero
.
Alafu kwenye huu mpambano Mafinga ipo mbona mnaisahau sana
Hivi wewe ni mzima huko kichwani kweli,kuna mwaka umewahi ona Njombe imetoka top ten ya necta?
Manamba nyie kazi yenu migodi na kuchunga ng'ombe , shule tuachie wenye akili,kila mtu akisoma nani atakuwa manamba?
 
rejea takwimu za necta miaka mitatu ya hv karibuni, usijiondoe ufahamu. Top ten mikoa bora kwa ufaulu, pia rejea takwimu za kiuchumi mwezi ulopita njombe ya ngapi kwa maisha bora, harafu linganisha na kwa mafukara wa kahama.
Weka shule niweke shule, Kahama ni Gold town sio bush town kama huko kwenye mambao
 
ushawekewa ya nini nirudie, mi najielewa sio kama wewe kilaza unarudia rudia jengo moja picha kumikumi kisa umeishiwa. Endeleeni kuzalisha makahaba wakati cc tunazalisha matajiri.
Ushaanza matusi nitake radhi hakuna mahala nimekutukana wala kumtukana yeyote mimi sio kilaza.
.
Kuhusu kurudia picha za Submarine ni kutokana na maombi ya ngulipo kuwa hajaona hotel za Kahama sasa wewe unabwata tu hapa na matusi juu huku hujaweka picha hata moja.
.
Yani kisa kwenu kaka yako alifaulu shule basi nawe huna haja tena ya kusoma sio? Akili zingine hizi ndio maana wafupi nyie
 
Hivi wewe ni mzima huko kichwani kweli,kuna mwaka umewahi ona Njombe imetoka top ten ya necta?
Manamba nyie kazi yenu migodi na kuchunga ng'ombe , shule tuachie wenye akili,kila mtu akisoma nani atakuwa manamba?
Tunazungumzia shule na sio mkoa Kahama iko ndani ya mkoa wa Shinyanga.
.
Weka shule inayofanya vizuri kutoka Njombe mji nami naweka Shule inayofanya vizuri Kahama mji kisha tuone nani ni mzima kichwani kama ulivyouliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…