Kahama VS Njombe/Mafinga

Unajua almas kwa hapa Tz zinatoka wapi kwa wingi? Na je hapo kahama pia hakuna migodi ya dhahabu? Mimi ni kijana tu wa miaka 27 nipo Mwanza, ila huwa napenda sana msemo wakuitana mzee mwenzangu.
Zinatoka sehemu tofauti na Kahama,kuwa specific unazungumzia Mkoa au Kahama?

Geita Wana haki ya kulalamika sio Kahama.
 
Kanda nyumbu ni huko kusini matakoni mwa Tanzania, jibu Rais Suluhu anapendelea kanda ya ziwa? Make juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa na anazidi kutoa pesa kwa kasi sana SGR iendelee kujengwa chap, na anaendelea kuufanya mkoa wa Mwanza kuwa kitovu cha biashara katika nchi za EAC
 
Nyumbu mnaruka na kukanyagana,Kusini ni Kanda ya wasomi sio manyumbu na washamba kama Usukumani ,πŸ˜€πŸ˜€
 
Nyumbu mnaruka na kukanyagana,Kusini ni Kanda ya wasomi sio manyumbu na washamba kama Usukumani ,
Yaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo huko
 
Tuko pamoja na ndio ilikuwa hoja yangu kuu wakati namjibu kiongozi wa nyumbu hapo juu..

Nilisema ukiacha kuwa na watu/ nyumbu wengi ambao ni ngome ya ccm,,mikoa ya Kanda ya Ziwa ina matatizo mengi Sana maana elimu na ustaarabu wa maendeleo umechelewa Sana hiyo pande,kwa hiyo Rais akitembelea no sawa..

Nikaendelea kumjibu yule nyumbu mkuu kwamba Kusini tunachotaka ni kuona vitu vikisonga sura ya Rais sio tija,kama kungekuwa silent tungeuliza ila things are moving then sura ya Rais ya nini?

Niliweka hadi ushahidi wa baadhi ya miradi mipya ya barabara za lami za Mikoa na mikoa..

Uimarishaji wa Songwe International airport πŸ‘‡

Hayo maneno toka enzi za mkwere , unfortunately umaskini unazidi kuongezeka..

Sehemu X haifanywi kuwa kitovu bali natural Geography inaifanya iwe hivyo,mtasubili Sana kufanywa πŸ–•πŸ–•
 
Yaani huoni anatembelea sana sehemu ambazo hazifanyi vizuri,unashindwa kuelewa hata jambo dogo namna hiyo ...angalia sehemu ambazo rais haendi means hazina emegency au hazikwami,wanajiweza waliopo huko
Hata Njombe hua hatukwami aisee.Na hatuhitaji Rais kututembelea tunahitaji pembejero,miundo mhinu,health facilities,easy of doing business hivyo ndio Muhimu kuliko kutembelewa na Rais
 
Nyumbu zimejaa tele kusini, hakuna kitu huko serikali imepasahau sasa mkuu wa serikali anakuja kukagua au kuzindua nini huko, au kuzindua vumbi?!
 
Hayo maneno toka enzi za mkwere , unfortunately umaskini unazidi kuongezeka..

Sehemu X haifanywi kuwa kitovu bali natural Geography inaifanya iwe hivyo,mtasubili Sana kufanywa
Wewe tayari unafanywa

UKIMWI utawamaliza make mmenyaona kufanywa ndo dili.
 
Wala posho wengine kutoka Morogoro, wameenda Kahama kudhurula eti????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…