Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa Kuna kitu kipya hko mambo ya social ndani ya wilaya ya njombe

 
Kwa hiyo na wew unashangilia
huo mkoa wenye watu laki nane sawa na wilaya ya muleba.


Eti 3000 wew per capita ya 3000 unaijua wew
Tanzania bado tupo maskini Sana.
Nyie mmepata ahueni kisa mna population ndogo Sana.

Lakin hakuna chochote.



Ila muwe mnapaka mabati rangi
 
mbona nyingi unarudiarudia hizo hizo hahaha Yan kwa mkoa was njombe mkalale tu mmesha pigwa gap la kuzi happy nilikupa hotel sita tu alafu nyingi Zina view ya kizaman Sana inatakiwa mje mjifunze mkoa wa njombe
mbona nyingi unarudiarudia hizo hizo hahaha Yan kwa mkoa was njombe mkalale tu mmesha pigwa gap la kuzi happy nilikupa hotel sita tu
Niendelee nisiendeleeee




NB.bukoba ndo mji wa pili Kanda ya ziwa kwa maendeleo baada ya jiji la mwanza ndo maana imekuwa manispaa mwaka 1998
 
Basi huyo ndugu yako ni mpumbavu tu.


Ndo maana watu wa huko hawawapi uprofessor mnakalili tu.



Sisi bukoba maprofesa Wana impact kubwa sana Tena Sana.
Kwanza wanaakikisha ukoo mzima unaenda shule na wanawekeza vijijini kwao.




Huyo mgaya yupo kitivo Cha research huko hata sio makamu na alitolewa kwenye cheo hicho.

NB. Tusiwadharau wasomi wetu Wana impact kubwa kwa jamii hata kufundisha watoto wetu huko vyuoni husiwe mpumbavu anayeamini elimu si chochote
 
Ukuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela, mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki.
Kwa Tanzania ukiona mji umepangwa vizuri ujue kasi yake ya maendeleo ni ndogo sana,ukiona mji umejengwa kiholela basi pana hela nyingi na serikali imelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…