Huna jipya tulikupa tahadhali toka ulivo palamia uzi huu kuwa mkoa wa njombe huu wezi Leo hi tayar huna hata Cha kupost NI kutuletea mapaa ya vijiji vyakoSiwezi kuisumbua Geita wakati hata Katoro is far better than hicho kituko chako Makambako
View attachment 3466131View attachment 3466132
Kwa huu uchafu hapa ππ€£πππHuna jipya tulikupa tahadhali toka ulivo palamia uzi huu kuwa mkoa wa njombe huu wezi Leo hi tayar huna hata Cha kupost NI kutuletea mapaa ya vijiji vyako
π¨πͺ Kiboko ya Makambako soma kibao hapo ππHuna jipya tulikupa tahadhali toka ulivo palamia uzi huu kuwa mkoa wa njombe huu wezi Leo hi tayar huna hata Cha kupost NI kutuletea mapaa ya vijiji vyako
UchafuGeita π₯ tunaanzia tulipoishia
View attachment 3517200
Nimeona nikuoneshe. Hii ni Mbeya nimepiga jana jioni hapo kulikuwa na giza giza
Ni mtaa gani?Nimeona nikuoneshe. Hii ni Mbeya nimepiga jana jioni hapo kulikuwa na giza giza
View attachment 3534905
Tughimbe pia anafanya extension ya hoteli yake hapo pembeni ππNimeona nikuoneshe. Hii ni Mbeya nimepiga jana jioni hapo kulikuwa na giza giza
View attachment 3534905