Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Hoja na ushahidi viko hapa👇😁🤭Hoja ijibiwe kwa hoja Kama huna punguza maneno twendelee kukuonyesha kazi zinazoendelea mzee
Ushahidi gani ya unachuku block moja et ndo CBD Kama hujui mipango miji kaa kwa kutulia tuendelee kukupa dose maana mambo mengi hujui ndo maana huwa unatuletea mapaa ya Kijiji chakoHoja na ushahidi viko hapa👇😁🤭
Yaani Makambako yako hiyo ni kijiji tu kilichochangamka na fujo ya hela wala sio mji wa kutamba nao yaani huu uchafu 👇😂😁🤭🤭
View attachment 3465954View attachment 3465955
Acha kurukaruka Kama maharageHoja na ushahidi viko hapa👇😁🤭
Yaani Makambako yako hiyo ni kijiji tu kilichochangamka na fujo ya hela wala sio mji wa kutamba nao yaani huu uchafu 👇😂😁🤭🤭
View attachment 3465954View attachment 3465955
Hata kama hazitoshi kichwani hapa 👇 mtu unahitaji hata D mbili kweli kuelewa upi mji utakao kuja kuwa kivutio ?Hoja ijibiwe kwa hoja Kama huna punguza maneno twendelee kukuonyesha kazi zinazoendelea mzee
Ulikuwa unakwepa kwepa kuleta picha za makambako zenye ujazo unatafutiza jengo moja moja sasa nimeshazipata tena current kabisa za September 2025🤭🤣🤣 nyingine hiyo👇Acha kurukaruka Kama maharage
Sasa unajua NI km ngap kuto CBD au unajitekenya na kucheka mwenyewe tulikwambia acha kukaa migodini Kama panya tembeaUlikuwa unakwepa kwepa kuleta picha za makambako zenye ujazo unatafutiza jengo moja moja sasa nimeshazipata tena current kabisa za September 2025🤭🤣🤣 nyingine hiyo👇View attachment 3465966
Yani kijiji bila kupingwa hapo ndio nje ya mji kwa ukuaji gani huo sasa 😂😂😂😂
Kijiji cha Makambako 😁😁😁🤭🤭🤣🤣Acha kurukaruka Kama maharage
https://www.facebook.com/Hata kama hazitoshi kichwani hapa 👇 mtu unahitaji hata D mbili kweli kuelewa upi mji utakao kuja kuwa kivutio ?
Katoro
View attachment 3465959View attachment 3465960
Makambako sasa😂🤣🤣🤣🤣👇
View attachment 3465962View attachment 3465963
Hapa sio CBD 🤭🤣🤣🤣🤣🤣👇Sasa unajua NI km ngap kuto CBD au unajitekenya na kucheka mwenyewe tulikwambia acha kukaa migodini Kama panya tembea
Yan unarusha eneo moja mara kumi asee 😂😂😂😂 unachekesha tembea uone utahahangaika Sana na picha za Eddy tz ukajua ndo alichukua makambako nzima haaaaa poleeee sanaKijiji cha Makambako 😁😁😁🤭🤭🤣🤣
View attachment 3465980View attachment 3465981View attachment 3465983View attachment 3465984yView attachment 3465985
Yaani nitawapitisha mtaa kwa Mtaa watu waone kituko hiki,
Kwani si ndio Makambako lakini 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣Yan unarusha eneo moja mara kumi asee 😂😂😂😂 unachekesha tembea uone utahahangaika Sana na picha za Eddy tz ukajua ndo alichukua makambako nzima haaaaa poleeee sana
Watu wakifika mtaani wataona project hiziKijiji cha Makambako 😁😁😁🤭🤭🤣🤣
View attachment 3465980View attachment 3465981View attachment 3465983View attachment 3465984View attachment 3465985
Yaani nitawapitisha mtaa kwa Mtaa watu waone kituko hiki,
Na kile kighorofa cha njano kipo hapa 👇kimezungukwa na uchafu 😂😂😂🤣🤣🤣Yan unarusha eneo moja mara kumi asee 😂😂😂😂 unachekesha tembea uone utahahangaika Sana na picha za Eddy tz ukajua ndo alichukua makambako nzima haaaaa poleeee sana
Unaokoteza eee 🤭🤭Watu wakifika mtaani wataona project hizi View attachment 3465996View attachment 3465997View attachment 3465998
Tulisha kwambia makambako CBD watu wanavunja nyumba za kawaida vitu vinashushwa ko mwambie Eddy tz apige picha kuanzia round about Hadi stendi ya njombe uone vitu vinavyo pangana ndo maana nilikwambia hizo picha unajifurahisha tuKwani si ndio Makambako lakini 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣
Na huyu NI diwan anagombea kata ambayo IPO umbali wa km 8 toka CBD NAONA UNAHANGAIKA HATARI LETA PROJECT ZA GEITA HAPA SIO KURUKARUKA KAMA BISI
Hoja na ushahidi viko hapa👇😁🤭
Yaani Makambako yako hiyo ni kijiji tu kilichochangamka na fujo ya hela wala sio mji wa kutamba nao yaani huu uchafu 👇😂😁🤭🤭
View attachment 3465954View attachment 3465955
Tulisha kwambia Hilo NI eneo la soko kuu ambalo soon linavunjwa na kujengwa soko la gorofa kupitia mradi wa tactics na tulisha rusha Hadi video za eneo Hilo acha kuhangaika leta project za mitaan za geita uliahidi leo na eneo hili la stendi linavunjwa lote ko huna hoja mzee na hii ndo stendi inayo vunjwa na kujengwa upya na mradi wa tactics imesha zungukwa na magorofa SI jui  unaongea nini tulisha kwambia makambako NI junction uwe unaelewaHapa sio CBD 🤭🤣🤣🤣🤣🤣👇
View attachment 3465991View attachment 3465992
Nje ya CBD hutoa taswira ya either hicho ni kijiji au mji wa maana
Eneo lote hili 👇linavunjwa?🤣🤣Tulisha kwambia Hilo NI eneo la soko kuu ambalo soon linavunjwa na kujengwa soko la gorofa kupitia mradi wa tactics na tulisha rusha Hadi video za eneo Hilo acha kuhangaika leta project za mitaan za geita uliahidi leo na eneo hili la stendi linavunjwa lote ko huna hoja mzee na hii ndo stendi inayo vunjwa na kujengwa upya na mradi wa tactics imesha zungukwa na magorofa SI jui  unaongea nini tulisha kwambia makambako NI junction uwe unaelewaView attachment 3466020View attachment 3466028View attachment 3466030
Siwezi kuisumbua Geita wakati hata Katoro is far better than hicho kituko chako MakambakoTulisha kwambia makambako CBD watu wanavunja nyumba za kawaida vitu vinashushwa ko mwambie Eddy tz apige picha kuanzia round about Hadi stendi ya njombe uone vitu vinavyo pangana ndo maana nilikwambia hizo picha unajifurahisha tuView attachment 3466000View attachment 3466004View attachment 3466006View attachment 3466008View attachment 3466015