Kahama VS Njombe/Mafinga


Soma hiyo ofisi ya nn na Kuna ofisi za gotofa za kutosha eneo hili
 
Endelea kujitariji na mamilima hayo ndo muiguse dodoma nyie au unaisikia dodoma
Umehamia Dodoma tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha kutapatapaπŸ”¨πŸ”¨ πŸ‘‡πŸ‘‡unaona vitu hivyo unaweza amini kuwa ni Geita πŸ‘‡
 
Mwamba asee we NI mshamba fika njombe MTAA wa lunyanywi ndo utaelewe hizo project zipo kila mkoa ndo maana tulikwambia mapema leta za watu binafsi unarukaruka Kama bisi
Ivi kwani wewe ni DEMU?! weka vitu tuone, kama kuna kitu sikijui nami nitakifahamu
Punguza maneno vitendo viwe vingi kama mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…