Kahama, Shinyanga: Lori la mafuta lateketea kwa moto na kupelekea utingo kufariki

Kumetokea ajali mbili za malori ya mafuta zilizosababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi kadhaa huko Kahama mkoani Shinyanga.

Katika kile kinachoonekana kama kueleweka kwa somo la kuchukua tahadhari juu ya hatari ya moto, wananchi walitimua mbio wakiacha mafuta ya petroli kutoka kwenye lori mojawapo yakimwagika mtaroni.

Moja ya malori hayo ya mafuta yaliyopata ajali usiku wa jana liliwaka moto na kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyekuwa abiria kwenye lori hilo.

Chanzo: ITV Habari
 
Hapo naona somo linawaingia Mabaharia!
 
Pichaaaa baba au hata kakideo

Kumetokea ajali mbili za malori ya mafuta zilizosababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi kadhaa huko Kahama mkoani Shinyanga.

Katika kile kinachoonekana kama kueleweka kwa somo la kuchukua tahadhari juu ya hatari ya moto, wananchi walitimua mbio wakiacha mafuta ya petroli kutoka kwenye lori mojawapo yakimwagika mtaroni.

Moja ya malori hayo ya mafuta yaliyopata ajali usiku wa jana liliwaka moto na kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyekuwa abiria kwenye lori hilo.

Chanzo: ITV Habari
 
Kuna watu uzembe wao unagharimu maisha ya wenzao,
ukiangalia
ajali ya sister wa kifungilo na dereva wake utaskia.....kukwepa.
ajali ya moro..... Kukwepa.
hii nayo .....kukwepa,
na nyingne nying sana,
kijitu na uzembe wake kimeteketeza watu karbun mia na wengne wanaungumia kwa mateso,

Mtu akijileta, kama anakupa wakat mgumu pita naye, unless kama kuna safe option.
lawama hapewi mbuzi,
Nilikuwa naingia kwenye keepleft ( round about) bibi mmoja na kikapu chake akawa anakatiza katikati ya roundabout. Ikanibidi nisimamishe gar ili apite. Sasa ist lililokuwa mkono wa kulia ikaja moja kwa moja na kunigonga ubavu kwa nyuma.

Kwa kuwa gar yangu ipo juu na ngumu, damage haikuwa kubwa kwangu. IST iliyonigonga ikawa imechakalika shoo ya mbele. Sasa akageukia mimi ndye nimlipe.

Tukaenda hadi police. Police wakatoa amri kuwa mimi ndye nimlipe coz yeye alikuwa mkono wa kulia na hairuhusiwi kusimama kwenye round about.

Sasa mpaka leo huwa najiuliza, hivi nisingesimama na ningemngonga huyu bibi kwenye round about kesi ingekuwaaje?
 
Mtoa roho amekwisha wasiliana nawe tena! Loh...

Yaani pamoja na watu wa Moro kuteketea kwa moto juzi bado kuna watu huko Kahama walitaka kwenda kuiba mafuta baada ya ajali kutokea! Kweli kusikia kwa kenge...
Wangeyaacha mataahira makubwa haya! Kwa ujinga yatakuwa yanajisemea wa Morogoro walikosea kuchomoa betri sisi hatutachomoa!
 
View attachment 1183943
Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company limeanguka na kuwaka moto wilayani kahama mkoani Shinyanga na kusababisha kifo cha utingo wa lori hilo aliyefahamika kwa jina moja la Erik huku dereva wake Ibrahimu Issa akijeruhiwa kwa moto.

Lori hilo lenye namba za usajili RAD 416V na Tela namba RL 1950 likitokea Dar es laam likiekea nchini Rwanda likiendeshwa na Ibrahim Issa limepata ajali hiyo katika mtaa wa shunu usiku wa kuamkia leo na kulipuka wakati likikwepa gari dogo aina ya Toyota Voltz.

Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa mtaa wa shunu, Kube Shija amesema baada ya tukio hilo kutokea alitoa taarifa kwa jeshi la polisi na walifanikiwa kuwazuia wananchi ambao walitamani kwenda kuiba mafuta lakini walifanikiwa kuwazuia.

Amesema ni vyema wananchi wakajifunza kutokana na majanga ya moto kama vile ajali ya morogoro ambapo watu wengi wamefariki dunia kwa kutokimbilia magari ya mafuta pindi yapo anguka ili kuzuia madhara kama vile vifo.

Frank kalebela na Asha Hamisi ni baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema ni vyema serikali ikatoa elimu juu ya majanga ya moto ili kuzuia vifo visvyokuwa vya lazima ambavyo vinasababishwa tamaa za kujipatia mali.

Ibrahimu Mussa ni dereva wa lori hilo ambaye anapatiwa matibabu katika hospiali ya Halmashauri ya mji wa kahama amesema ajali hiyo imetokea wakati akimkwepa dereva wa gari dogo ambaye alikuwa anajaribu kupita bila kuchukua tahadhari na kusababisha gari hilo kuanguka.

Kwa upande wake Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji wilaya ya kahama Dumma Mohamed amesema walifanikiwa kuuzima moto huo na kumwokoa dereva wa gari hilo ambaye mpaka sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Kahama

Amewataka wananchi kutoa taarifa za majanga ya moto na kuacha tabia ya kupiga picha na kuzisambaza mtandaoni ili kuweza kuokoa mali za watu pindi moto unapotokea.

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani shinyanga ACP Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa ajali.
Hakuna cha kutoa elimu waacheni tu wafe kama watu hawataki kujifunza unataka serikali itoe elimu ipi waelewe. Namuombea utingo apumzike kwa amani kwani naamini asingeumia katika ajali angejiokoa.
 
Nilikuwa naingia kwenye keepleft ( round about) bibi mmoja na kikapu chake akawa anakatiza katikati ya roundabout. Ikanibidi nisimamishe gar ili apite. Sasa ist lililokuwa mkono wa kulia ikaja moja kwa moja na kunigonga ubavu kwa nyuma.

Kwa kuwa gar yangu ipo juu na ngumu, damage haikuwa kubwa kwangu. IST iliyonigonga ikawa imechakalika shoo ya mbele. Sasa akageukia mimi ndye nimlipe.

Tukaenda hadi police. Police wakatoa amri kuwa mimi ndye nimlipe coz yeye alikuwa mkono wa kulia na hairuhusiwi kusimama kwenye round about.

Sasa mpaka leo huwa najiuliza, hivi nisingesimama na ningemngonga huyu bibi kwenye round about kesi ingekuwaaje?
mazingira kama hayo boss ambayo una option ya kusimama, sio mbaya sana, hatar ni ile upo kwenye mwendo kona hii hapa kaboda boda kanajileta kimakosa na unaona kbsa kutoka salama hapo ni ngumu, na unaroho nyingne umebeba,
kuna msemo wanasema
kill the indian and save the mans.
 
View attachment 1183943
Lori lenye shehena ya mafuta la kampuni ya Mount Meru Company limeanguka na kuwaka moto wilayani kahama mkoani Shinyanga na kusababisha kifo cha utingo wa lori hilo aliyefahamika kwa jina moja la Erik huku dereva wake Ibrahimu Issa akijeruhiwa kwa moto.

Lori hilo lenye namba za usajili RAD 416V na Tela namba RL 1950 likitokea Dar es laam likiekea nchini Rwanda likiendeshwa na Ibrahim Issa limepata ajali hiyo katika mtaa wa shunu usiku wa kuamkia leo na kulipuka wakati likikwepa gari dogo aina ya Toyota Voltz.

Akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa mtaa wa shunu, Kube Shija amesema baada ya tukio hilo kutokea alitoa taarifa kwa jeshi la polisi na walifanikiwa kuwazuia wananchi ambao walitamani kwenda kuiba mafuta lakini walifanikiwa kuwazuia.

Amesema ni vyema wananchi wakajifunza kutokana na majanga ya moto kama vile ajali ya morogoro ambapo watu wengi wamefariki dunia kwa kutokimbilia magari ya mafuta pindi yapo anguka ili kuzuia madhara kama vile vifo.

Frank kalebela na Asha Hamisi ni baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema ni vyema serikali ikatoa elimu juu ya majanga ya moto ili kuzuia vifo visvyokuwa vya lazima ambavyo vinasababishwa tamaa za kujipatia mali.

Ibrahimu Mussa ni dereva wa lori hilo ambaye anapatiwa matibabu katika hospiali ya Halmashauri ya mji wa kahama amesema ajali hiyo imetokea wakati akimkwepa dereva wa gari dogo ambaye alikuwa anajaribu kupita bila kuchukua tahadhari na kusababisha gari hilo kuanguka.

Kwa upande wake Kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji wilaya ya kahama Dumma Mohamed amesema walifanikiwa kuuzima moto huo na kumwokoa dereva wa gari hilo ambaye mpaka sasa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Kahama

Amewataka wananchi kutoa taarifa za majanga ya moto na kuacha tabia ya kupiga picha na kuzisambaza mtandaoni ili kuweza kuokoa mali za watu pindi moto unapotokea.

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani shinyanga ACP Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa ajali.
NASHAURI KUANZIA SASA, MALORY YOTE YA GAS NA MAFUTA YATEMBEE MASAA 12 AU 14 TU. ZAIDI YA HAPO NI KUMUACHIA DEREVA AENDELEE KUBURUZA GARI HUKU AMECHOKA NA HIVYO KUPUNGUZA UMAKINI BARABARANI.

PIA VILE VILE, DEREVA YEYOTE MWENYE TABIA YA KUNYWA POMBE HATA MARA MOJA MOJA ASIKABIDHIWE GAS WALA PETROL WALA GARI ZA ABIRIA.

HAPO AJALI ZITAPUNGUA. KWA SABABU JUHUDI ZA POLISI TUNAZIONA LAKINI PIA NI LAZIMA TUUMIZE KICHWA KUJUA NA SABABU NYINGINEZO ZONAZOCHOCHEA ONGEZEKO LA VIFO NA MAJANGA. OVER
 
Back
Top Bottom