Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,248
- 3,303
2030 tuwakateeShida ni ccm ya wahuni.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi
NimefikaMkuu umejaribu kufika BIJAMPOLA PUB pale kutuliza koo
sasa mdogo wetu kweli wewe wakushuka kituo cha bus unatembea kwa miguu mitaani kwenye vumbi utaionaje kahama nzuri pambana upate pesa ndio ujue uzuri wa kahama kama ulikuwa unajua uzuri wa kahama ni majengo mazuri sijui maua barabarani futa hilo wazo kama una pesa anza itumia sasa uton uzuri wa CAMPKahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.
Ungesema hivi enyi washamba wa Tanzania jitahidini mfike Guangzhou Hongkong Instanibul Moscow muone maana halisi ya majiji ila kuitaja kahama tu kama sehemu ya kishamba, hujatenda haki anzia Dar mwanza arusha, Dodoma, tanga mbeya moshi kote huko kwangu mimi ni Vijiji vilivyochangamka tuKahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.
Uko sahihi kabisa.Ndiyo maana nimehitimisha kwa kusema Tanzania bado sana kuhusu mipango mijiUngesema hivi enyi washamba wa Tanzania jitahidini mfike Guangzhou Hongkong Instanibul Moscow muone maana halisi ya majiji ila kuitaja kahama tu kama sehemu ya kishamba, hujatenda haki anzia Dar mwanza arusha, Dodoma, tanga mbeya moshi kote huko kwangu mimi ni Vijiji vilivyochangamka tu
CCM haijawahi kufanya jambo lolote zuri. CCM imelaaniwa soma Isaya 50:11Kahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.
Sisi wazurulaji ambao tumezurula vya kutosha ndani na nje kidogo ya nchi tunapaona kahama dar mwanza arusha sijui na wapi huko ni sawa na kijijini tu sumve au ibadakulisasa mdogo wetu kweli wewe wakushuka kituo cha bus unatembea kwa miguu mitaani kwenye vumbi utaionaje kahama nzuri pambana upate pesa ndio ujue uzuri wa kahama kama ulikuwa unajua uzuri wa kahama ni majengo mazuri sijui maua barabarani futa hilo wazo kama una pesa anza itumia sasa uton uzuri wa CAMP
Siyo Tanzania tu ni kwa africa ni baadhi ya nchi angalau zina majiji ila tulio wengi bado tuna Vijiji vilivyochangamkaUko sahihi kabisa.Ndiyo maana nimehitimisha kwa kusema Tanzania bado sana kuhusu mipango ramani
NImekumbuka vyuo vimefungwa watoto mpo field tunaweza kukesha hapa bishana maana uzuri wa eneo unaupima kutokana na umri wako na uelewa wakoSisi wazurulaji ambao tumezurula vya kutosha ndani na nje kidogo ya nchi tunapaona kahama dar mwanza arusha sijui na wapi huko ni sawa na kijijini tu sumve au ibadakuli
Ukitaka kuamini haya mkuu fika Guangzhou Hongkong Instanibul Moscow mpaka unajiuliza hivi hawa walichora tu ramani
Siyo Tanzania tu ni kwa africa ni baadhi ya nchi angalau zina majiji ila tulio wengi bado tuna Vijiji vilivyochangamka
Mji ikishakuwa na Barabara za vumbi, obvious hiyo ni takataka tuKahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.
Tatizo lako yawezekana umezaliwa kahama umekuliaa kahama umesomea kahama na una mpango wa kuwa na familia kahama, ndyo maana unapaona kahama ni Dubai au London cha kukushauri mkuu hujachelewa jichange uende japo Hongkong uone nini maana ya jiji na nini maana ya mipango mijiNImekumbuka vyuo vimefungwa watoto mpo field tunaweza kukesha hapa bishana maana uzuri wa eneo unaupima kutokana na umri wako na uelewa wako
Uko mjini mara ukutane na punda mara mbuzi mara ng'ombe sasa huo ni mji au kijijiniMji ikishakuwa na Barabara za vumbi, obvious hiyo ni takataka tu