kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kuna watu wameziba bara bara,wamejenga maeneo ya wazi,mji hauna sehemu za kupumulia na hii yote ilikuwa jeuri ya fedha.Sasa tunataka ieleweke kuwa fedha ina mwisho wake uadilifu na utii wa sheria vitabaki kuwa tunu na heshima kwa watanzania
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums