Kahama alikiba vs mtwara diamond

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe juu yenu wakuu

Hii picha Mimi nimeipenda sana.

Vijana wote inatakiwa tuige kutoka kwa vijana wenzetu hawa wawili.

Za kunyapia ni kwamba alikiba alipewa hela kidogo sana na fiesta ili apige show dar jumamos akakataa na akataja hela anayotaka kulipwa jamaa wakashindwa kufika bei jamaa akaamua naye aandae show yake

Kher kwao vijana wenzetu

London boy
Screenshot_20181123-214846.jpeg
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Hii picha Mimi nimeipenda sana.

Vijana wote inatakiwa tuige kutoka kwa vijana wenzetu hawa wawili.

Za kunyapia ni kwamba alikiba alipewa hela kidogo sana na fiesta ili apige show dar jumamos akakataa na akataja hela anayotaka kulipwa jamaa wakashindwa kufika bei jamaa akaamua naye aandae show yake

Kher kwao vijana wenzetu

London boyView attachment 944345
Aisee muambie rose Mary anicheki
 
Naomba namba ya rose mary mkuu..
Anaonekana ni binti mcha Mungu kwahio atanifaa kwa matumizi
 
We ndo carrymastory!!kwanza huyo sio diamond ni harmonize,jamaa hapo ni kwao,naomba nikuhakikishie kwamba watu wengi hapo walikuna kuliangalia hilo na sio msanii!
 
Unaweza kusoma ulichokiandika au unatumia tecno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom