KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,376
Hicho ni Kismat..... lakini akifahamu tabia yake kama ni taxi Bubu, cdhan kama watadumu.
Nguo ndefu zinavutia aisee askwambie mtu...ila iwe na kampasuo kidogo
huwezi jua huenda tayali alishakula mzigo kitambo kwahiyo alirudi kuchukua jumla
hata hivyo maadamu kijanan ni mwanaume na kahaba huyo ni mwanamke hakuna cha ajabu hapo hao ni jinsia mbili tofauti ambazo kila moja anamhitaji mwenzie kwa hiyo hakuna jipya hapo
MWISHO
acha kuwadhalilisha wanawake kwa kuwaita KAHABA
Je ni wanawake wangapi umetembea nao hadi kufika umri huo ulionao
Je yatosha hata wewe kuitwa MALAYA?
fikiri kwanza kabla hujahukumu
mpasuo wa haja bwana ndo mzuri