KAGONGWA (picha?)

KAGONGWA (picha?)

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Wadau wa Kagongwa Kahama - Shy tuwekeeni picha ya hako kamji ka Kagongwa!
Hiloo wee ulijua tayari mtu kisha pata ajali eeh...
Weka yako?! Unafurahi kuona wenzako wako kwenye majanga eeeh?!:behindsofa:
 
Hiyo cha mtoto,kuna sehemu pale Singida inaitwa Senge,kuna shule pale ya sekondari inaitwa Senge Sekondari,sasa siku moja wale walimu walienda mei mosi, ulipofika muda wa kutambuliswa ilikua kasheshe! Mc akasema walimu ******* WASIMAME...true story!
 
Shinyanga nayo ina majina ya ajabu ajabu sana. Kile kibao cha "MKUU WA WILAYA - KAHAMA" Mmekiondoa?
 
mh! Heri mie sijui kagongwa wala kahama.
Mi najua tumbatu na makunduuchi tu
 
Kama vile kagongwa nyuma alafu yeye akasimamia mbele.Sio siri alipitiliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom