Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Ukiona MTU kila anachotaka kusema anatumia neno "kiukweli" ujue ni uongo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa unachoamini mkuu na mm kukuaminishia ilo siwezi baki ukiamini ivyo ivyoUkiona MTU kila anachotaka kusema anatumia neno "kiukweli" ujue ni uongo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah akikua sikumoja atakuja kuelewa kuwa mwanamke sio wa kumtumainia.Wivu wake kwako ni ule wa kuficha maovu yake. Huyo ni mzoefu wa cheatings.
Ipo siku utashangaa sana mdogo wangu. Na kama unampenda sana utakuja kujiua!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu kikubwaWivu wake kwako ni ule wa kuficha maovu yake. Huyo ni mzoefu wa cheatings.
Ipo siku utashangaa sana mdogo wangu. Na kama unampenda sana utakuja kujiua!
Sent using Jamii Forums mobile app