Nafikiri watu wa kuwakamata wakaonyesha wamiliki wa kagoda Ltd wameonekana kwenye hizo document kwani sheria lazima waliocertify wawe wanawajua personally, maana kuna taharifa kuwa wamiliki hawajulikani na ofisi ya kipawa haipo.
Hawa BRELA ina maana hawakuconfirm location ya address kabla ya kuwaregister nafikiri walitakiwa kwenda na kuconfirm kuwa hiyo physical address ni valid.
hamna kitu
whats so difficult kuiweka kwenye word na kuipost humu?
then........
"Single" ya "Kagoda" kufeli haijafeli bali imedoda tu. Ung'eng'e wa kisomi uliotumika naona umewaboa watu wengi.
KWANZA HIYO DOC YENYEWE INAPATIKANA?
Hilo la ungenge sawa sasa hatuwezi kulalamika mikataba mibov huku hatutaki kuimprove yayi
ndio dunia ya leo hiyo
Uploading on this particular thread isn't working...fishy!
Karibu mara kumi...