Kagera/bukoba villages gallery

Mkuu kuna hotel ya kati ipo maeneo ya Kibeta unaweza ipata. Niliipenda maana iko eneo tulivu sana kama mwisho wa mji kabisa na mlimani. Ukijichimbia uko unafanya mishe zako bila usumbufu.
Bila Shaka itakuwa ni perfect hotel.

Kama sio itakuwa PK hills hotel.


Perfect hotel hii hapa
 
Shukrani mkuu ni Perfect Hotel. Nimekumbuka bustani za pale nilizipenda sana.

Pia kuna bonge la hotel maeneo baina ya Kivulini na Kibeta tetesi zilidai ni la Mama Salma Kikwete, najua si kweli lakini kwa kutumia uvumi huu utalitambua. Ukiwa downtown unaliona kwa mbali kama unavyoiona Walkguard Annex. Vipi lilikamilika maana ujenzi ulichukua muda.
 
Kati ya kibeta na kivulini kuna majengo mengi yanajengwa naona pamezungushiwa mabati.



Lakin kuna hii kibira plaza ndo imekamilika maeneo ya Kwa kagambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…