Kagera/bukoba villages gallery

Hii taswira ni tofauti na ile tulioiona wakati wa tetemeko la ardhi, zile nyumba zilee
 
Unazungumzia inferiority then unajicompare na klm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nae huyo atakuwa na bukoba ya kwake kichwani. Actually sasa hivi mjini Bukoba watu wanajenga sana kiasi kwamba wakati mwingine cement inaadimika, tatizo bado lipo kwa serikali katika kuweka miundombinu imara na inayoendana na ukuaji wa mji
Mji wa bukoba shida yake ni Barabara zake,stendi na soko kuu ambavyo ni KAZI ya serikali kuhakikisha zinajengwa .
Wakati huku dar stendi zikifumuliwa na kujengwa mpya mfano gerezani na ubungo .mji wa bukoba haujawahi kuonja stendi ya lami .Kwanza serikali haiwekazi wazi Kwa nini stendi ya bukoba haijengwi miaka nenda Rudi .wanaishia kujenga kibaha na stendi nyingine magari yanapita Tu lakini bukoba no na magari yanalala pale . Anyway ipo siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu achaneni na masuala ya bk mjini. Huu uzi ni wa vijijini mazee. Au mmesahau kichwa cha uzi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukoba airport baada ya Simba kufungwa
 
Ukitoa chamazi na taifa uwanja huu wa kaitaba ndo unaofuata Kwa ubora
 
Eneo la biashara migeyo na soko kuu bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…