Kagame ni tishio la usalama Afrika Mashariki na kati. Akiingia vitani, Tanzania, Kenya, Congo na Burundi ziungane zimpige

chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,668
2,000
Ni wazi kwamba kagame akishinda vita dhidi ya Uganda,atakuwa anaisogelea Tanzania na kuizunguka kwa asilimia kubwa na kupanua uwanda wa vita.

Njia pekee kwa Tanzania,Uganda na Congo,pamoja na Burundi ni kumwondoa Kagame ili ukanda huu uwe salama.Pia kuondoa aina ya utawala anaopandikiza katika mataifa mbali mbali

Ni wazi kwamba Rwanda anategemea bandari zetu kupokea silaha kutoka mataifa ya ulaya na marekani,tuiminye njia hii asipate silaha

Tuzuie vyakula visiingie nchini mwake mpaka itokee sintofahamu kwa wananchi

Na ikibidi,kama vita imeanza na uganda,nchi za ukanda zipandikize mamluki was kusaidia jeshi la Uganda na kuunda vikosi kwa mamia vya kupambana kwa kujitegemea ili kutawanya nguvu za Kagame na jeshi lake.Hii itaipa mwanya Uganda kumchapa vizuri kwa kuwa jeshi litakuwa limetawanyika kudhibiti mapambano madogo madogo
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,952
2,000
Njia pekee kwa Tanzania,Uganda na Congo,pamoja na Burundi ni kumwondoa Kagame ili ukanda huu uwe salama.

Hivi huyo Kagame ana nguvu kiasi gani hadi Tanzania, Uganda, Congo na Burundi waungane ili kumpiga? Na kwa nini wampige, haya mambo ya geopolitics wewe unafanya kama ngumi za watoto mitaani? Hebu weka vitu vyenye angalau common sense humu JF.

Halafu unaitwa Chinembe, hilo ni jina lako kwa Kimakonde?
 
Mtzd bk

Senior Member
Jan 4, 2018
180
225
Hujui lolote wewe, kwanza Fanya uchunguzi kidogo, uone kikosi cha anga cha uganda kinamiliki silaha gani, ( 5th generation jet fighter sukoi 29) ambayo hakuna radar yoyote Rwanda inayoweza kuiona wala silaha ya kuitungua, in short uganda kampita Rwanda kijeshi kila idara, haitaji msaada kutoka nchi yoyote.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,645
2,000
Rais Paul Kagame Mbona hana Noma na MtuChuki tu, Wakati wa Mauwaji ya Kimbari Kagame alipambana na Kuwatia Adabu Interahamwe.

Anastahili pongezi,Wakati huo RPF ilikuwa peke yake wanafiki wote walikuwa wakifurahia Mauwaji.

Paul Kagame akaingia Front dhidi ya Interahamwe na Theoneste Bagosora ambae jeshi zima la Rwanda aliligeuza kuwa ni Interahamwe.

Sisi tulichofanya ni Kumtuma Kinana Wakati huo ni Waziri wa Ulinzi kwenda Rusumo falls kupiga Selfie na Maiti zilizokuwa zikiporomoka Mtoni.

Mgogoro Baina ya Kagame na Museveni ni wa Kukaa chini na Kusikilizana.
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643
2,000
Ni wazi kwamba kagame akishinda vita dhidi ya Uganda,atakuwa anaisogelea Tanzania na kuizunguka kwa asilimia kubwa na kupanua uwanda wa vita.

Njia pekee kwa Tanzania,Uganda na Congo,pamoja na Burundi ni kumwondoa Kagame ili ukanda huu uwe salama.Pia kuondoa aina ya utawala anaopandikiza katika mataifa mbali mbali

Ni wazi kwamba Rwanda anategemea bandari zetu kupokea silaha kutoka mataifa ya ulaya na marekani,tuiminye njia hii asipate silaha

Tuzuie vyakula visiingie nchini mwake mpaka itokee sintofahamu kwa wananchi

Na ikibidi,kama vita imeanza na uganda,nchi za ukanda zipandikize mamluki was kusaidia jeshi la Uganda na kuunda vikosi kwa mamia vya kupambana kwa kujitegemea ili kutawanya nguvu za Kagame na jeshi lake.Hii itaipa mwanya Uganda kumchapa vizuri kwa kuwa jeshi litakuwa limetawanyika kudhibiti mapambano madogo madogo
Aise ni kuiabisha the might Tanzania kuingiza jeshi zima kupigana na Rwanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard irakunda

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
3,510
2,000
Sidhani kama kuna uwezekano wa Tanzania kuingia vitani au kutoa msaada wa kijeshi kwenye vita ya nchi na nchi tena ndani ya AE kwa hii miaka ya karibuni aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom