Hakua Kageme peke take uliza macommrade wenzake wako wapiRais Paul Kagame Mbona hana Noma na MtuChuki tu, Wakati wa Mauwaji ya Kimbari Kagame alipambana na Kuwatia Adabu Interahamwe.
Anastahili pongezi,Wakati huo RPF ilikuwa peke yake wanafiki wote walikuwa wakifurahia Mauwaji.
Paul Kagame akaingia Front dhidi ya Interahamwe na Theoneste Bagosora ambae jeshi zima la Rwanda aliligeuza kuwa ni Interahamwe.
Sisi tulichofanya ni Kumtuma Kinana Wakati huo ni Waziri wa Ulinzi kwenda Rusumo falls kupiga Selfie na Maiti zilizokuwa zikiporomoka Mtoni.
Mgogoro Baina ya Kagame na Museveni ni wa Kukaa chini na Kusikilizana.