Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 167
- 119
Mimi ni mwanachadema mtiifu ninayemfahamu kagame from a-z.
Sikuungi mmkono kwa hili mkuu maana kagame ni sumu kali ndani ya mvinyo wa sherehe ya kifalme.
Nitamchukia kagame siku zote bila kukoma,asiye mjua atamshangilia.
Media za rwanda kila siku ni kumsifia kama vile mungu mtu!
'n£no'
tukiingia vitani nitakuwa wakwanza kuchukua silaha ili kuangamiza adui la africa mashariki na kati,p.kagame.
watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja
Mkuu,
Vp Kagame akijitolea kuja kutuondolea ma CCM a.k.a Ma Intarahamwe.
Mimu ntampa Gwala aisee...hata wangekuwa Boko haram,Alshabab Alqaeda etc etc
"Ugonvi" binafsi upi? Na unaposema Iddi Amin alikuwa na "ugonvi" binafsi na Nyerere, hilo eneo la Kagera alilovamia Iddi Amin lilikuwa ni mali binafsi ya Nyerere?
Nawashangaa mainterahamwe kushangilia Tanzania kupeleka kikosi kule Congo kupambana na M23 kikundi ambacho kinasemekana kinafadhiliwa na Kagame ili kupora mali za wakongo
Hivi kama Kagame ameamua kutumia fursa kupora mali kwa ajili ya wanyarwanda sisi inatuuma nini? au ndo wivu wa maendeleo, hizo mali za Congo zinatusaidia nini mpaka tuzipiganie, Tumesaidia sana ukombozi kusini mwa jangwa la Sahara tena kwa kumwaga damu lakini hamna chochote tunachothaminiwa na mataifa hayo leo hii vijana wetu wanamwaga damu kwa ajili ya wacongo ili mali zao zisichukuliwe na mjanja Kagame ambae anazitumia kujenga nchi yake ifike sehemu tuache kiherehere.
na kwa taarifa yako mtanzania mzalendo hawezi kushabikia kuingiza majeshi yetu vitani bila sababu ya msingi kamwe! Kupeleka jeshi congo kutakuwa na maana tu kama nchi yetu itafaidika kiuchumi iwe kwa kuibia congo kama inavyosadikika kuwa rwanda inafanya au vinginevyo! Nje ya hapo kina membe wapeleke ndugu zao au watoto wao kule congo ili wakajue ugumu wa vita!Aisee, wewe utakuwa sio mtanzania.
Kwa mtz aliye mzalendo na nchi yake hawezi zungumza uliyozungumza wewe
ukikua utaacha, sumu hailambwi mkuu..Rwanda anatuharibia biashara DRC lazima tumchape tu
..wewe ndo unapotosha kabisa! Uhusiano wa kimataifa ni kwa kupeleka jeshi tu nje ya nchi? Acheni kutumia propaganda katika ulinzi na usalama wa taifa letu!Sina hakika kama wewe ni mzima kichwani, ungekuwa una uwezo japo kidogo wa kujua barabara inavukwaje, ningekuelezea maana ya uhusiano wa kimataifa.
kumchukia kagame wewe binafsi sio mbaya! Lakini chuki ya watu wachache dhidi ya mtu/nchi isipelekee kuliingiza taifa letu katika uadui na nchi jirani. Mbona uganda jirani zetu pia wanatuhumiwa kusaidia waasi huko congo? Pia je unafikiri raia wa rwanda wote wanampenda rais wetu jk?Mimi ni mwanachadema mtiifu ninayemfahamu kagame from a-z.
Sikuungi mmkono kwa hili mkuu maana kagame ni sumu kali ndani ya mvinyo wa sherehe ya kifalme.
Nitamchukia kagame siku zote bila kukoma,asiye mjua atamshangilia.
Media za rwanda kila siku ni kumsifia kama vile mungu mtu!
'n£no'
tukiingia vitani nitakuwa wakwanza kuchukua silaha ili kuangamiza adui la africa mashariki na kati,p.kagame.
haa haa mkuu huo ndo ukweli! Chuki binafsi za mtu mmoja zinaliingiza taifa vitani!watu wana ugonvi wao binafsi halafu wanatuahadaa sisi ili tuingie kwenye machafuko,alituahadaa nyerere ugonvi wake binafsi na idd amini na huku idd amin akimdai nyerere wakutane ili wapigane laivu yeye akampelekea jeshi,safari hii piganeni wenyewe labda mna maslai binafsi na huko DRC,haiwezekani wanajeshi wetu wanakufa kila siku wanaacha watoto yatima ,wajane na wategemezi wengine halafu tusijiulize tunatetea maslahi ya nani,hata raisi wa marekan aliwahi kuhojiwa na wabunge wake ni faida zipi wameipata kwa kupeleka jeshi Iraq.Ukiuliza hapa tanzania unaambiwa wanajeshi wanapata uzoefu,kama suala ni uzoefu ni bora tuombe vita ya kirafiki na marekani ili wanajeshi wetu wawe ngangali,kama suala ni uzoefu mbona wanaokwenda vitani wengi ni vijana wadogo wenye miaka chini ya 25,wakati kuna wazee mpaka wanakaribia kustaafu hawajawahi kupigana vita kwa nini wasiende wao,wanaogopa nini,ndio maana vita ya uganda wakati wanazoa wagambo kijijini kwetu babu alikataa na kuwajibu kwamba mmewahi kunipa mshahara wenu siku moja