Sipati uhusiano wa kuelewana,kupendana,kuvumiliana na hayo unayosema kuwa unaambiwa na mkeo kama kweli ndoa ni makubaliano yanayoungwa na mapenzi basi umeyaoenda na kuyakubali!!!!!!
Otherwise kama umeoa, wewe barubaru,una nafasi kimaisha,una fedha yako bado unabaguliwa na unajuta ila bado uko naye ndio najiuliza au umeolewa wewe??????!!!!
Mimi kwangu aibu ni hii unayoeleza kuliko mimi kuulizia hiyo nature ya ndoa yako!!!
OLESAIDIMU
Sasa ume-eleweka reading you 5/5 I just wanted to express my feelings and at least to share the sympathy ahsante umenionyesha mlango wa pili.
Shukran Jazeera!!