Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

Kagame na Kikwete wazidi kukwepana

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,372
Reaction score
37,909
Rais Kikwete wa Tanzania na Rais Kagame wa Rwanda wameendeleza mizengwe ya kukwepana.Ikumbukwe Rwanda iliazimisha miaka 20 ya mauaji ya kimbari marais wote wa EAC na viongozi wa mataifa mbali mbali walihudhuria kumbukumbu hiyo isipokuwa Rais Kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae Riziwan Kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan Bagamoyo.

26 April 2014 Tanzania ilisherekea miaka 50 ya muungano wa kisanii baina ya Tanganyika na Zanzibar marais wote wa EAC pamoja na wageni wengine mashuhuri toka sehemu mbali mbali walihudhuria sherehe hizo zilizotamalakiwa na maonyesho ya silaha za kivita na magwaride ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama Rais Kagame alishindwa kuhudhuria sherehe hizo bila kujali Tanzania ilipokea wakimbizi wengi sana toka Rwanda kipindi cha machafuko.

Juzi yaani tarehe 30 April - 1 May 2014 wakuu wa nchi za EAC walikuwa na kikao cha kawaida mjini Arusha marais wote wa EAC walihudhuria kikao hicho muhimu isipokuwa Rais Kagame akaamua kukimbilia USA kwenye vimkutano vya uchochoroni ili kumkwepa Kikwete akaamua kumtuma waziri mkuu Pierre Damien Hubumuremyi kumwakilisha.

Bila shaka tutaendelea kushuhudia visa na mikasa mingi baina ya Kikwete na Kagame.
 
wanaogopana au mmoja wao anamuoga zaidi mwenzake?.
 
Mkuu kadoda11 umesahau Kagame aliwahikusema atamhit Kikwete labda anaogopa anaweza kuwahiwa si unajua wote ni wanajeshi.

wanaogopana au mmoja wao anamuoga zaidi mwenzake?.
 
Last edited by a moderator:
Naiona EAC ikivurugwa na kanchi kadogo sana,wakati sasa umefika Uhuru na Mseveni kuamua kumtupia virago Kagame.
 
Kagame amekosea kuingia EAC kwa midadi ya kumtegemea M7 na Uhuru, hao wenyewe kutwa wanavuka boda hadi kwa miguu kuja kujipendekeza kwa Mama Tanzania.
Kagame kachanganyikiwa baada ya kugombana na Tz dunia nzima wamemtenga na South wafikiria kumchapa.
 
Im nt dat pro government but i dont find it correct to say such a thng,do u have any substantive cause to substantiate ur claim mkuu?
 
Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?

hapo ndo amechafua, wa kisani kivipi? Huu muungano sisi tunataka udumu, wewe unaanza chokochoko eti wa kisani , huo usani unakuumiza nn?
 
Tuwe wazalendo,tuappreciate kilichofanyika,which was the best thng to do for us by the time.
 
Kagame amekosea kuingia EAC kwa midadi ya kumtegemea M7 na Uhuru, hao wenyewe kutwa wanavuka boda hadi kwa miguu kuja kujipendekeza kwa Mama Tanzania.
Kagame kachanganyikiwa baada ya kugombana na Tz dunia nzima wamemtenga na South wafikiria kumchapa.

Sema baba Tanzania please
 
wanaogopana au mmoja wao anamuoga zaidi mwenzake?.
Haha!! Wabongo huwa napata burudani jinsi mnavyobabaika kwa ajili ya Rwanda. Yaani nikiangalia ramani, inatoshana na mkoa wenu mmoja tu lakini hamuishi kumtaja na kumponda Kagame kila mnapopata fursa.

Jameni Tanzania, jitu letu la EAC lini litatuonyesha mwongozo, lini litaamka na kuchukua uongozi. Kila kukicha linachokonoa wadogo wake hadi hata wale wanaotoshana na mkoa wake mmoja.
 
Kwenye jumuiya hii hakuna aliye baba,mtoto wala kaka,kila nchi ina mamlaka sawa,if u take Tanzania as giant its u,and haya ni maneno ya mtaan ya wananchi wakawaida wachache,Tanzania yenywe haijasema kitu,wala kuweweseka. Tutawagonga kweli mkileta utani na huyo sniper wenu anayedungua watu chini kwa chini na kutaka kujinufaisha unfairly!
 
Gossip gossip !!! Mnapenda ugomvi. Wao wenywe hamjui labda wanaongea kwenye simu. Nyinyi mnakaa kuumiza kichwa kwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.

Tanzania tunahitaji kazi jamani khaa!!

The king.
 
Anaogopa kutekwa nyara c TB Joshua alishamtabiria? Toka utabiri ule amekuwa mwoga sana hata wakati wa kifo cha Mandela alienda South kisirisiri.
 
Wakuu Mwadilifu na mseveni muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar umejaa usanii wa hali ya juu nitakutajieni sababu mbili kuu.

1.Muungano ambao mtanganyika akienda Zanzibar hana tofauti na mgeni toka Kenya au Sudan.
a, Mtanganyika hana haki ya kuchaguliwa au kuchagua viongozi akikanyaga ardhi ya Zanzibar.
b. Mtanganyika hana haki ya kumiliki ardhi ya Zanzibar .
c. Mtanganyika lazima aombe kibali cha ukaazi Zanzibar
d. Mtanganyika hawezi kuajiriwa na SMZ
e. Mtanganyika si chochote si lolote akikanyaka ardhi ya Zanzibar
f. Mzanzibar ana uraia wa nchi mbili,kwanza ana uraia wa Zanzibar pili ana uraia wa Tanzania.
g. Mtanganyika anawajibika kubeba gharama zote za muungano,ulinzi na usalama wazanzibar hawachangii chochote hata hili bunge la katiba Zanzibar haijatoa ndururu.
h. Makusanyo ya kodi upande wa Zanzibar yanabaki huko huko Zanzibar.

Mnaofikiri huu muungano si wakisanii niambieni nini faida za muungano kwa waTanganyika.
Kinachofanya muungano uitwe wa kisanii ni kipi hasa?

hapo ndo amechafua, wa kisani kivipi? Huu muungano sisi tunataka udumu, wewe unaanza chokochoko eti wa kisani , huo usani unakuumiza nn?
 
Last edited by a moderator:
Rais Kikwete wa Tanzania na Rais Kagame wa Rwanda wameendeleza mizengwe ya kukwepana.Ikumbukwe Rwanda iliazimisha miaka 20 ya mauaji ya kimbari marais wote wa EAC na viongozi wa mataifa mbali mbali walihudhuria kumbukumbu hiyo isipokuwa Rais Kikwete alikimbilia kijijini kwake kumpigia kura mwanae Riziwan Kikwete aliyekuwa akiendeleza sera za usultan Bagamoyo.

26 April 2014 Tanzania ilisherekea miaka 50 ya muungano wa kisanii baina ya Tanganyika na Zanzibar marais wote wa EAC pamoja na wageni wengine mashuhuri toka sehemu mbali mbali walihudhuria sherehe hizo zilizotamalakiwa na maonyesho ya silaha za kivita na magwaride ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama Rais Kagame alishindwa kuhudhuria sherehe hizo bila kujali Tanzania ilipokea wakimbizi wengi sana toka Rwanda kipindi cha machafuko.

Juzi yaani tarehe 30 April - 1 May 2014 wakuu wa nchi za EAC walikuwa na kikao cha kawaida mjini Arusha marais wote wa EAC walihudhuria kikao hicho muhimu isipokuwa Rais Kagame akaamua kukimbilia USA kwenye vimkutano vya uchochoroni ili kumkwepa Kikwete akaamua kumtuma waziri mkuu Pierre Damien Hubumuremyi kumwakilisha.

Bila shaka tutaendelea kushuhudia visa na mikasa mingi baina ya Kikwete na Kagame.
ANAONA AIBU KWA UCHAFU WAKE ANAOUFANYIA TANZANIA..na bado, itabidi akajifiche chini ya mawe... mwisho wake unakaribia. By the way, hatumuhitaji kuja kuleta UNAJISI katika nchi yetu. Ananuka damu za watu wasiokuwa na hatia. Laana hizi zitamfuata yeye na watoto wake akina Cyamoro, Ange, Brian na yule mwingine hadi wajukuu zake kama hatatubu kwa madhambi anayoyafanya!
 
Haha!! Wabongo huwa napata burudani jinsi mnavyobabaika kwa ajili ya Rwanda. Yaani nikiangalia ramani, inatoshana na mkoa wenu mmoja tu lakini hamuishi kumtaja na kumponda Kagame kila mnapopata fursa.

Jameni Tanzania, jitu letu la EAC lini litatuonyesha mwongozo, lini litaamka na kuchukua uongozi. Kila kukicha linachokonoa wadogo wake hadi hata wale wanaotoshana na mkoa wake mmoja.
PaKa anachokonolewa kwa sababu ya uovu wake dhidi ya Tanzania... kwanini sio UK, Nkurunzinza, ama Mu7?...there is a reason (bad reason) why he is always in the mention here.....
 
Back
Top Bottom