nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 663
- 735
- Thread starter
- #81
wrong...Kagame is force for good and totally opposite with these guys,west wana back up kagame sio kwa sababu wanataka kumtumia or anything close, Rwanda ni nchi maskini na haina any natural resources,west supporting Kagame kwa sababu is non corrupt na kubali is the one who ended the genocide wakati dunia nzima ikiwa inaangalia,hizo story za Rwanda kugeukwa na US ni upuuzi tuu walichozuia ni laki mbilii aut of millions maana noisy za watu kama nyie msioelewa zilizidi,pigeni kelele tuu lakini wanaoelewa wanajua bila Kagame Rwanda ingekuwa failed state like any other na hata hao Congolese need to thank kagame kuwaondolea thief dictator aliyewatala for more than 30 yrs,Rwanda is charging ahead because of kagame...ila one thing for sure those who commited genocide waliokimbilia Congo watakuwa hunted down to the last one na Congo ikiendelea kuwaweka itaingiliwa huko huko kwao na kunyukwa pamoja nao
ok. Mkuu naona unaijua Rwanda zaidi ya aliykuwa Balozi wa Rwanda India na Mkuu wa Intelejensia ya Rwanda Bw Faustine Kayumba Nyamwasa.
Basi tupe sababu ya Kagame kuingilia uhuru wa DRC kwa kupinga Eastern DRC kutumia Drone.
Amini Yanayotokea mali yata wakuta akina makenga na Ntaganda karibuni.
tofauti ni kuwa hapo kongo watakimbilia Rwanda.