Usiongee kishabiki. UN imetangaza kupeleka drones DRC na sio Rwanda. Hiyo ya Rwanda kusaidia M23 ni speculation zako,
Vipi ile platoon moja aliyoahidi Membe kuipeleka DRC kupambana na M23 mmeshaipeleka, au ilishakuwepo kule siku nyingi.
Muelewe mleta mada. Kagame ndiye mfadhiri mkuu wa harakati za M23 nchini DRC. Hii ni kwa mujibu wa riport mbalimbali za umoja wa mataifa, sasa speculations zinakujaje? kwa jinsi hiyo hawezi kufurahishwa na ujio wa drones hizo kwani mipango yake mingi itafeli. Ni kweli Rwanda ndio nchi pekee iliyopinga mpango huo ndani ya baraza la usalama la umoja wa mataifa. Sasa jiulize kwa nini ipinge wakati ndege hizo zinakwenda DRC? Reference: BBC news- Star tv saa tatu usiku ya tarehe 9/1/2013.