nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 663
- 735
- Thread starter
- #41
KHAAA! kweli madogo yana nafuu, haya ni makubwa. niko mbali kidogo na hilo mkuu, hebu wekaga stori basi.
asili ya huyo Kanali Alikua mtanzania na asili yaki niwale machifu watusi wa kigoma akina Rusimbi. sasa kama ulivyo utamaduni wao akatumia cheo chake ndani ya JWtZ kupeleka slaha kwa watusi wenziwe Rwanda na Burundi.