FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,824
- 46,943
Hivi kagame kunusurika kifo mwanzoni na mapema kabisa mwa mwaka.., kuna ashiria nini..?
Wee mpiga ramli ama unataka kutambika? Kawawa alikufa mwishoni kabisa mwa mwaka, mbona hukuuliza kifo kile kiliashiria nini? Ama kweli duniani kuna watu na viatu! Anyway, hili ni swali zuri la Kipimajoto, mpelekee Ufoo Saro wa ITV atakuulizia kwa mataahira wenzako!
vipima joto vya ITV havinaga kichwa wala miguu..
Hivi kuna Fisadi kama bosi wa ITV, Reginald Mengi?unatabia za ccm/mafsad sio bure
hahah..! Mengi ni jembe kama sio power tiller..!Hivi kuna Fisadi kama bosi wa ITV, Reginald Mengi?
Hivi kagame kunusurika kifo mwanzoni na mapema kabisa mwa mwaka.., kuna ashiria nini..?
Kaulize wapiga ramli.
Amen...!Inaashiria muda wake umekaribia sana...na amani itatawala maziwa makuu.