Kagame katika ubora wake

Kagame katika ubora wake

Jibambe na maphoto hapo.
Screenshot_20190425-231657~2.jpeg
 
Kwamba hizi silaha huwa zinawalenga Wanyonge watakaoleta vurugu au magenge ya usaliti yani maadui wenye silaha za kivita, mfano hapa kwa kwetu Tz ??
 
Huyu ndio kamuelekeza. Sema hawa 'jezi' zao zina bendera ya Taifa lakini unaweza ukadhani ni kikosi kimoja kwa kufanana muonekano hadi silaha naona ni zilezile.

Siajabu kuanzishwa kwa kile cha kwetu ni wazo la jirani na unaweza kuta hata logistics ni jirani.

Kwa nchi zenye au zilizopitia vita na hali bado haijawa shwari ndio unakuta walinzi wenye silaha nzito nzito nje nje kama hivi, kidole kiko kwenye trigger kwa lolote.

Nchi kama Rwanda, Burundi, Congo, Iraq, Syria, Afghanistan n.k ni kawaida sana lakini nashangazwa na hapa kwetu

Wenye uelewa zaidi nadhani wataongea zaidi
Sio tatizo kwa sababu mara nyingi haya majeshi yanafanya mazoezi na mafunzo ya pamoja!
 
Kwamba hizi silaha huwa zinawalenga Wanyonge watakaoleta vurugu au magenge ya usaliti yani maadui wenye silaha za kivita, mfano hapa kwa kwetu Tz ??
Ni kwa ajili ya wakorofi kama Lema na Sugu!
 
Huyu ndio kamuelekeza. Sema hawa 'jezi' zao zina bendera ya Taifa lakini unaweza ukadhani ni kikosi kimoja kwa kufanana muonekano hadi silaha naona ni zilezile.

Siajabu kuanzishwa kwa kile cha kwetu ni wazo la jirani na unaweza kuta hata logistics ni jirani.

Kwa nchi zenye au zilizopitia vita na hali bado haijawa shwari ndio unakuta walinzi wenye silaha nzito nzito nje nje kama hivi, kidole kiko kwenye trigger kwa lolote.

Nchi kama Rwanda, Burundi, Congo, Iraq, Syria, Afghanistan n.k ni kawaida sana lakini nashangazwa na hapa kwetu

Wenye uelewa zaidi nadhani wataongea zaidi
Khaaa, Baadae mtasema hata budget ni moja Sasa ya hizo unit.
 
Back
Top Bottom