Kagame katika ubora wake

Kagame katika ubora wake

arch81

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
386
Reaction score
433
Duuuh wanafanana hatari hatari
IMG_20190516_213718.jpeg
 
Huyu ndio kamuelekeza. Sema hawa 'jezi' zao zina bendera ya Taifa lakini unaweza ukadhani ni kikosi kimoja kwa kufanana muonekano hadi silaha naona ni zilezile.

Siajabu kuanzishwa kwa kile cha kwetu ni wazo la jirani na unaweza kuta hata logistics ni jirani.

Kwa nchi zenye au zilizopitia vita na hali bado haijawa shwari ndio unakuta walinzi wenye silaha nzito nzito nje nje kama hivi, kidole kiko kwenye trigger kwa lolote.

Nchi kama Rwanda, Burundi, Congo, Iraq, Syria, Afghanistan n.k ni kawaida sana lakini nashangazwa na hapa kwetu

Wenye uelewa zaidi nadhani wataongea zaidi
 
Unaweza kuta ndo hao wanazunguka wakitoka huko wanakuja huku
 
Back
Top Bottom