carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,274
Ni kweli sio rahisi kumpata Mtu sahihi kama yeye. Na pia ndio tatizo la viongozi wengi type yake. Kila Siku wanaona mrithi wao hajakwiva kuchukua majukumu, wakija kushituka wanakuwa ndio wanakimbizwa kwa nguvu na umma Au coupHata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.