Na huku wanapendwa sana na wananchi wao. Huyo PK alishinda kwa asilimia 98 km sikosei. Wanampenda mpaka wamemuongezea muda mpaka 2034Kiongozi kuwa na ulinzi mkali ndani ya nchi yake huwa anahofia nini?
Na huku wanapendwa sana na wananchi wao. Huyo PK alishinda kwa asilimia 98 km sikosei. Wanampenda mpaka wamemuongezea muda mpaka 2034Kiongozi kuwa na ulinzi mkali ndani ya nchi yake huwa anahofia nini?
Uko sahihiKutokana na kimo cha wanaomlinda pauro c unaona mrefu kuliko jiwe
Acha mzahaHao ni wa tanzania wa rwanda wanakuwaga na mikuki!
By Eminem. Huyu kweli slim shadySlim Shady!
InasikitishaWazee wa magogoni hao wanamlinda mwanafunzi bora wa Lecturer Paulo Dyabala
Hawa si ndio wale!?
Itakuwa ana mtu wake anamtengeneza. Akitoka anamuachia.Mimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
May beItakuwa ana mtu wake anamtengeneza. Akitoka anamuachia.
May be
Sehemu kama hizo viongozu wa namna hiyo wakiondoka huwa wanawaacha balaa kubwa. Lakini waafrika kama kawaida yetu huwa hatufikiriiMimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
Hata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.Itakuwa ana mtu wake anamtengeneza. Akitoka anamuachia.
Kaandaa Mtutsi mwenye itikadi kali kama yeye maana akiingia lelemama hapakaliki pale achana tu na Mhutu ampae atawarudisha upya waethiopia kwao kupitia mto.Mimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
Yaaani mfano aandaliwe bashiteHata amtengeneze vipi hatokuwa kama yeye. Hatoweza kuhimili vishindo kama yeye, aliyopotia PK yamemjenga na kusaidia namna alivyo sasa.
Mfuasi wa Kagame, Mobutu, Bokassa, Nkurunzinza una akili ndogo kiasi hicho ?!. Tangu lini mpinzani aliyeko kikatiba akawa adui wa kulengwa. Na Je waasi utawafanya Je ?!.Ni kwa ajili ya wakorofi kama Lema na Sugu!
Usisahau na nyumbani ni gale galeMimi huwa najifikiria sawa ,Rwanda itakuwaje bila kagame? Kwa sabab kila kitu kashikiria yeye,in short hakuna mfumo
Utataka kuniambia watsi ni waethiopia by nature?Kaandaa Mtutsi mwenye itikadi kali kama yeye maana akiingia lelemama hapakaliki pale achana tu na Mhutu ampae atawarudisha upya waethiopia kwao kupitia mto.
Kumbe ndio tumecopy na kupaste hukuDuuuh wanafanana hatari hatariView attachment 1099729
Utataka kuniambia watsi ni waethiopia by nature?
OK,inawezekanaKwa mujibu wa historia.