Kagame in Dar

Kagame in Dar

bwafo

Senior Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
103
Reaction score
70
Rais Kagame awasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati

IMG_5868.JPG
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
IMG_5869.JPG
Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya kumkaribisha nchini Tanzania.
IMG_5876.JPG
IMG_5875.JPG
Rais Kagame akikagua gwaride la heshima
IMG_5880.JPG
Rais Kagame na Waziri Membe wakiangalia burudani ya ngoma za asili uwanjani hapo.
IMG_5888.JPG
Waziri Membe akiwa ameongozana na Rais Kagame mara baada ya kukagua gwaride na kushuhudia ngoma za asili.

http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/03/rais-kagame-awasili-jijini-dar-es.html
 
Haina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru
Wewe wasemajee !??! harufu ya damu wakati wewe mwenyewe ulikoga kwa damu yako juzi!! (kweli au uongo) ?

Presida. J Kagame welco /karibu TZ !!
 
PK muoga yupo hypersensitive hata ukikohoa tu anaweza akaogopa
 
Wewe wasemajee !??! harufu ya damu wakati wewe mwenyewe ulikoga kwa damu yako juzi!! (kweli au uongo) ?

Presida. J Kagame welco /karibu TZ !!

Da! naandika nipokitandan lakin nachokiongelea ni mauaji yale ambayo yeye amekuwa akiyapambia kama wimbo, mm ni kakundi ka watu wanao waza kupata maisha kupitia njia haram,wasie na kazi zaid ya ujambazi
 
Pole Mkuu,, Tunakuombea kwa Mwenyeezi Mungu Mwema akupe uponyi wa haraka uinuke hapo!!!
Uje tujenge Taifa letu lililopata ufa, mmongonyoko,ukosefu wa maadili !!! Bahati yako wewe ulinusurika...Mmh Lakini masikini wapo waliopoteza uhai !! katika uvamizi wa majambazi nchini!!
 
Aaaaahaa unakumbukumbu huyu si aliua jambazi alipovamiwa au

unapo tamka kuua kiukweli nafsi yangu inaniuma sana,japo nina majeraha makubwa nimepoteza dam nying,lakin ninaweza kuku pm nikupatie picha zaid ya 10 nilivyo katwakatwa inauma. lakin twendeni kwenye mada tuacheni na haya tunamjadiri PK
 
Naona jk nae kalipiza kisasi kampeleka membe kama yeye alivyopokelewa na mushikiwabo
 
Haina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru
Vipi umepona?nasikia umekill mtu any way pole
 
Haina shida tunamkaribisha kwa amani wala asihofu kwani mwenyewe anatambua kafike na kukanyaga ardhi isiyo na arufu ya dam,hewa isiyo na mchanganyiko na arufu ya dam,hewa pyuwa saafi. Ila huyujamaa alipaswa nikampokee mimi na si membe bas tu naudhuru

Membe ndio saizi yake huyo....
 
Safi sana jirani yangu,, napita kila mara kwake huyu bwana na pale eapoti huwa nakutana na sura za tabasamu kwa weli na hata hotelini mapokezi Mazuri tu tena wako friendly kabisa,, kama ni shida labda yeye mkuu tu lakini raia hakuna shida kwa kweli... mara nyingi nimeambiwa ''Karibu nyumbani'' anyway mambo ya wakubwa sisi yetu macho... kimyaaaaa
 
Membe ndio saizi yake huyo....

Ungekuwa na uwezo ungesema hii habari ya uwongo na ni propaganda za wanywarwanda,aibu tupu interahamwe na usubiri mgambo wa jiji siku wakiamua kuwachomoa huko magomeni na manzese mlipojificha
 
Rais Kagame awasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati

IMG_5868.JPG
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
IMG_5869.JPG
Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya kumkaribisha nchini Tanzania.
IMG_5876.JPG
IMG_5875.JPG
Rais Kagame akikagua gwaride la heshima
IMG_5880.JPG
Rais Kagame na Waziri Membe wakiangalia burudani ya ngoma za asili uwanjani hapo.
IMG_5888.JPG
Waziri Membe akiwa ameongozana na Rais Kagame mara baada ya kukagua gwaride na kushuhudia ngoma za asili.

http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/03/rais-kagame-awasili-jijini-dar-es.html

Nadhani Picha Tu Zinakuonyesha Jinsi Gani Tanzania Inavyomwogopa, Kumnyenyekea Na Huku Waziri Membe Akionekana Akiomba Po!!!!!!!
 
Back
Top Bottom