Kagame: Hatuwezi kumkamata Bashir

Kagame: Hatuwezi kumkamata Bashir

Hata kuna foot soldiers wa wa NAZI ambao hawakufunguliwa mashtaka..so i don't know what you want get at. Kama hawana makosa hao ndugu zako wanafanya nini huko porini?
NAZI walijulikana lengo lao ni nini kwenye katiba yao, je katiba ya FDLR mahali gani inasema inataka kufanya genocide? Na hakuna former NAZI soldiers walioajiriwa kuwa viongozi wa jeshi la ISRAEL, wakati makamanda wakubwa wakubwa wa FDLR hata leo hii wakitaka uwaziri ndani ya serikali ya Kagame watapewa! Huoni unafiki hapo?
 
Ubishi wako ni wa kuzaliwa. Point yangu nadhani wasomi wameilekewa. Otherwise sina pumzi za kubishana na interahamwe. Kwaheri.
 
kwani Gaddafi na Saddam wana uhusiano gani na ICC?
my point nikuwa kwann hawawafwati watuhumiwa kama mmarekania alivyowafuata saddam na gaddafi why wait waende nje ya nchi zao...mmarekani aliwataka wale wawili aliwafuata ICC kama inawataka watuhumiwa wake lazima iwafuate kuliko ku create uhasama wa nchi ambayo itaenda kumkamata
 
Hata kuna foot soldiers wa wa NAZI ambao hawakufunguliwa mashtaka..so i don't know what you want get at. Kama hawana makosa hao ndugu zako wanafanya nini huko porini?
Unataka wakae mjini Kigali muwauwe au muwafiche jela kama mlivyowafanya victoire ingabire na pasteur bizimungu?waache wajikalie porini wafurahie dunia.
 
Wakati mwingine huyu jamaa huwa anafanya maamuzi ya busara. Lakini pia akiacha kuisumbua Burundi na akafanya yanayoipasa nchi yake, atakuwa amefanya jambo la maana.

Wanaua watu alafu unapongenza sasa busara gani?
 
Hili lidubwasha ICC linanikeraga sana...limehacha MANYANG'AU huru yanaendelea kuumiza wenzao halafu bado linajifanya kusaka wengine.....***type!
Viongonzi wa Africa vichwa maji acha ICC ifanye kazi watu wanawaua wenzao utafikiri sio binadamu kisa tamaa ya madaraka
 
Unataka wakae mjini Kigali muwauwe au muwafiche jela kama mlivyowafanya victoire ingabire na pasteur bizimungu?waache wajikalie porini wafurahie dunia.
Kweli maana kuna mwingine walimufuata south Africa kagame sio mtu mzr kama wanavyotuaminisha
 
my point nikuwa kwann hawawafwati watuhumiwa kama mmarekania alivyowafuata saddam na gaddafi why wait waende nje ya nchi zao...mmarekani aliwataka wale wawili aliwafuata ICC kama inawataka watuhumiwa wake lazima iwafuate kuliko ku create uhasama wa nchi ambayo itaenda kumkamata
Hilo ni wazo zuri sana
 
Viongonzi wa Africa vichwa maji acha ICC ifanye kazi watu wanawaua wenzao utafikiri sio binadamu kisa tamaa ya madaraka
Mkuu shida ni hizi double standards...unapohacha wengine wanarudi na shamrashamra mitaani it doesn't show seriousness....
 
Back
Top Bottom