Kagame: Hatuwezi kumkamata Bashir

Kagame: Hatuwezi kumkamata Bashir

What if every country decided not to return interahamwes claiming "hayatuhusu" as well? Anyway let me rephrase the question that you seem to avoid at all cost: was there genocide/war crimes in Darfur or not? If yes, don't you think wahusika wanatakiwa kushitakiwa?
Wengi mbona wanafanya hivyo tu. Take for example wafaransa baba zako. Ni juhudi zetu na persistence tu. Lakini slowly wote watakamatwa tu.
 
Wanaokataa hoja yao ni uhuru na haki ya mahakama za Rwanda hawasemi kwamba hakukuwa na genocide. By the way last time i checked mna diplomatic relations na France. Wewe unakwepa kusema whether kulikuwa na war crimes darfur. Halafu kule juu nilikuomba kesi moja tu ya genocide against FDLR member, kama haipo how come these guys are labeled genocidaires?
 
Uhuru na haki na ya mahakama? Mugesera anafanya nini rwanda? Canada wamethibitisha uhuru na haki ya mahakama. So kwa hilo huna point
 
Hili lidubwasha ICC linanikeraga sana...limehacha MANYANG'AU huru yanaendelea kuumiza wenzao halafu bado linajifanya kusaka wengine.....***type!
 
mbona unapick case moja moja? ungepick zote basi. Haya na hizo kesi dhidi ya FDLR for genocide in 1994 ziko wapi?
 
manyang'au yameua na kupoteza mashahidi na waliobaki walitishiwa kiasi kwamba wakifika mahakamani wanabadili maelezo wenyewe kwa uoga. Hii mahakama ilitakiwa kuwahamishia mashahidi wote huko huko ulaya mpaka kesi iishe.
 
mbona unapick case moja moja? ungepick zote basi. Haya na hizo kesi dhidi ya FDLR for genocide in 1994 ziko wapi?
Point yako mahakama sio huru. Sasa kama wa canada wa swedish na wengine wameikubali we ni nani kuikataa?
 
ushaanza kufanya vitu personal, sasa aliyekataa ni mimi au nchi kama France uliyoitaja? Na ambazo hata wakikataa kurudisha bado mnaendelea na diplomatic relations?
 
Wewe ndio umesema mahakama sio huru. Sio wafaransa. Nikakujibu kuwa kama nchi za magharibi kama Canada, zimeipa [emoji106] [emoji106] mahakama ya rwanda eho are you to question them
 
Hatukumpeleka sisi. Alijisalimisha mwenyewe akaomba apelekwe wakaja kumchukua. Hata bashir akijisalimisha haina shida.
Mlitaka kumuua ndio maana aliamua kujisalimisha icc kuepuka kifo. Paka na Hyporite Kanambe walipanga wamuue baada ya bosco kumuomba Kanambe/Joseph Kabila ampe dola laki moja ili akafanye biashara aachane kabisa na mambo ya kijeshi/vita wakaona atatoa siri zao wakapanga wamuue ndio baada ya kushtukia mchezo akaona sehemu salama ni icc. Wakongo wamelala mno, sasa wanatawaliwa na wanyarwanda wa kitusi kuanzia kanambe mwenyewe, mawaziri na jeshini wamejaa watusi wa kinyarwanda tupu. Wanajeshi wa kikongo wakijaribu kuzuia maslahi ya Rwanda wanasukiwa zengwe la kuuawa kama vile kanambe alivyomuua kanali Mamadou Ndala.
 
Hadithi za alfulela..
 
Okay, thats true, but are you saying hutambui wala kuyapa uzito mashtaka dhidi ya Bashir ambayo yametolewa na mahakama hii?
Hey baba lao..nimeskia Bashir ameomba visa ya kwenda marekani..sasa kazi kwenu..mkamateni huko huko..mkimwachia ndio mtadhihirisha unafiki wenu
 
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba hakuna sababu hata moja itakayoifanya nchi yake kumkamata rais wa Sudan Omar al-Bashir ikiwa ataalikwa kuhudhuria kikao cha Umoja wa Afrika kitakachofanyika nchini Rwanda mwezi Julai mwaka huu.

Rais Bashir anasakwa na mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita (ICC) kwa tuhuma za uhalifu wa kivita na mauaji katika jimbo la Darfur.
Rwanda si mwanachama wa mahakama ya ICC.
Hivi ICC kama kweli inamtaka huyu bashiri kwann hawamfuati kama Gaddafi au Saddam....umoja wa africa walikubaliana hakuna nchi itakayo ruhusiwa kumkamata raisi wa nchi nyingine kama anaenda kwenye mkutano wa AU....yaani ukijifanya kimbelembele kumkamata unatolewa umoja wa mataifa....serikali ya sauzi ina kesi kwa kushindwa kumkamata jamaa wamekubali kesi huku wakifiria kujitoa
 
Kagame is one of the glorified dictators of Africa, he can not arrest his fellow dictator!
 
jamani marais wa Africa ni wa maisha kwenye ikulu sio kizimbani hata kama wakitoka madarakani wanachia wenzao tu waliopangiana nao
 
Hey baba lao..nimeskia Bashir ameomba visa ya kwenda marekani..sasa kazi kwenu..mkamateni huko huko..mkimwachia ndio mtadhihirisha unafiki wenu
nimeshakuwa mmarekani tena? Mmarekani ni ndugu yako Koba 😀
 
Wewe ndio umesema mahakama sio huru. Sio wafaransa. Nikakujibu kuwa kama nchi za magharibi kama Canada, zimeipa [emoji106] [emoji106] mahakama ya rwanda eho are you to question them
kwa hiyo hakuna nchi inayokataa kurudisha watuhumiwa wa genocide Rwanda kwa kigezo cha uhuru wa mahakama za Rwanda isipokuwa ni porojo za jmali tu? okaaay, umeshinda!
 
Hivi ICC kama kweli inamtaka huyu bashiri kwann hawamfuati kama Gaddafi au Saddam....umoja wa africa walikubaliana hakuna nchi itakayo ruhusiwa kumkamata raisi wa nchi nyingine kama anaenda kwenye mkutano wa AU....yaani ukijifanya kimbelembele kumkamata unatolewa umoja wa mataifa....serikali ya sauzi ina kesi kwa kushindwa kumkamata jamaa wamekubali kesi huku wakifiria kujitoa
kwani Gaddafi na Saddam wana uhusiano gani na ICC?
 
alfulela ni ugenocidaire wa FDLR wasiokuwa na kesi yoyote ya genocide popote pale!
Hata kuna foot soldiers wa wa NAZI ambao hawakufunguliwa mashtaka..so i don't know what you want get at. Kama hawana makosa hao ndugu zako wanafanya nini huko porini?
 
Back
Top Bottom