Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

Daah kweli mikia imekata tamaa imebaki kuomba mabingwa waharibu ili mpumue angalieni msije mkachafua ch*pi
 
Naona mmepata wakujipoozea na kichapo cha game iliyopita leo mmepata wabovu mnajiona wazuri haya tutawaona yebo yebo; mnaongoza goli mbili
 
Kitimu cha Djibouti kimefungwa goli 3 tu! Djibouti ni ya 207 (kati ya members 209)
 
Kumbe yanga ilikuwa inacheza na timu ya taifa Djibouti ya 207 ???
 
Naomba kujua ili yanga waweze kusonga mbele kwa round nyingine, matokeo yanatakiwa yaweje?
 
Naomba kujua ili yanga waweze kusonga mbele kwa round nyingine, matokeo yanatakiwa yaweje?

Usijali shabiki Yanga ni lazima ifike Fainali.
Hii ni kwasababu bila Yanga kufika Fainali basi hao CECAFA watapata hasara kubwa sana kwa kuwa wamewekeza pesa ndefu wakitegemea Performance ya Yanga Fc.

#YangaLazimaFainali .
 
Hongereni Yebo Yebo...

Tafuteni wapiga penalty za kupendelewa.

cc nifah, Danny greeny.

Timu imeyumba sana baada ya ligi kuisha tofauti na timu kama Gor Mahia ambayo imetoka katika michezo ya ligi inayoendelea.

Tunashukuru Mungu tuna-recover slowly but surely. Wapiga penati wapo hao hao unaowafahamu, tatizo linalowasumbua ni la kisaikolojia zaidi ya kiufundi; wapiga penati wameshindwa kujiamini baada ya nahodha wao kukosa penati dhidi ya Gor Mahia.

Kasi ya fowadi ya Yanga inawachanganya sana mabeki wa timu pinzani, suala la penati za kupewa ni lako binafsi kwa maana maamuzi ya refa ni ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Pole yanga na subiri kipigo cha kmkm!

Mapeasi FC.....!

Ni kheri maumivu ya kufungwa na KMKM kuliko kuliko yale ya kutochukua ubingwa huu kwa takribani miaka 16.

Mara ya mwisho mlichukua mwaka 2002.
 
Back
Top Bottom