Nani huyo aliyekosa?!!!!
Wamekosa penati 2 leo. Basi ni balaa......!!!!
Wamekosa penati 2 leo. Basi ni balaa......!!!!
Ilikuwaje?
Ngapi ngapi na dakika ya ngapi??
Kuna gundu ya penati, inabidi wazee waliangalie hili.
Kuna gundu ya penati, inabidi wazee waliangalie hili.
Yanga hakuna wapigaji wa penati kwan hamtambui hilo
Penalt mbili out waombe washinde game ikiwa sare au loose tusilaumiane barabarani waulizeni taifa stars karume pale.
HT: Telecom 0-1 Yanga.
Kila la kheri muharibu tupumue humu jf