mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Yanga ni timu hora TANZANIA kwa sasa na tukifanikiwa kurekebisha nafasi ya kiungo namba 6, pamoja na beki namba 4, YANGA itakuwa bora AFRIKA.
Mkuu kwani Mbuyu Twite haimudu tena nafasi hiyo?
Yanga ni timu hora TANZANIA kwa sasa na tukifanikiwa kurekebisha nafasi ya kiungo namba 6, pamoja na beki namba 4, YANGA itakuwa bora AFRIKA.
Yanga ya leo iko vizuri sana
KmKm wanapiGA pasi kaMa Barcelona, Kandambili bure kabisa...

Yanga wanapigwa leo
Yanga wanapigwa leo
Mtani mbona unapenda sana kuiombea mabaya YANGA kah.