Kagame asitusha msiba wa Mandela

Kagame asitusha msiba wa Mandela

Umetembelea nchi ya Rwanda au umetembelea Kigali? umefika vijijini wewe? Taabu watu wengi wakitembelea kigali wanarudi na kusema wametembelea Rwanda na kuona ina maendeleo si kelele hizo watarudi na kutukana hadi nchi kuwa Tanzania bure Kabisa.Rwanda sio KIGALI pekee.[/QUOTE

safi sana kwa maoni yako,,, Ruanda ina ukubwa sawa na baadhi ya mkoa mmoja wa tz,, ina watu wasiozidi 6mil, mtu anataka kuicompare na tz.. sawa sawa na mtu atembelee mwanza mjini halafu atuambie eti tanzania imeendelea..
Ruanda hii watu wamesahau kuwa UN watu walikaa vikao ili kuisaidia misaada ya bure ili kuiokoa baada ya vita..

kuna watu kaka ni wavivu wa kufikili tanzania kubwa sana,,

hongera kwa maelezo yako yaliyojaa weledi mkubwa
 
Hili jembe la Africa tuache chuki zisizokuwa na maana.
Personally nimetembelea nchi yake on official business mtu asikudanganye jamaa wameibadilisha sana nchi yao.Actually naweza kusema wanakimbia wakati tutembea na hawana natural resources zozote uki compare na zetu.

Jamaa ana vision kubwa, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Unataka kulinganisha utendaji wa Kagame na Kikwete? au sijakuelewa? samahani lakini.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tukubaliane na ukweli sisi mipango thabiti ya maendeleo wenzetu wametuacha hili suala la kuangalia ukubwa na wingi wa watu ni ujinga kwani Mungu aliliona hilo na ndio maana tukapewa rasilimali nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia.
Kwani GDP ya rwanda ni ngapi? na ya tz je? Maendeleo ya nchi yanapimwa kwa kigezo gani?
 
chungu cha kupikia mifuta kitavunjwa na mifuta pia. Alivyoupata urais Kagame ndivyo pia atakavyotoka kwenye urais, refer Gadaf, Sadam, Mobutu, etc.
 
Wazungu ni watu Gan Hao.Mbongo bana ndio maana akimwona kila mtu mweupe anajua kua anajua english

wewe kwa vile mtutsi hujui maana ya kumwaga radhi, na jinsi gani isivyo common kwa mzungu kufanya hivyo!
 
Kwani GDP ya rwanda ni ngapi? na ya tz je? Maendeleo ya nchi yanapimwa kwa kigezo gani?

Ushahidi huu hapa chini.

KIGALI, June 25, 2013 - Swift and positive actions taken by the Government have successfully steered Rwanda towards a steady growth and positive outlook, says the Fourth Edition of the Rwanda Economic Update. According to the report, Rwanda’s economy has grown by a robust 8 percent in 2012, thus continuing a decade-long period of strong economic growth and claiming for the third year in a row the title of the fastest growing economy in the EAC. The report states that the strong growth in 2012 is attributed to a resilient private sector performance especially in the services sector with trade, telecommunication and transport generating about 40 percent of 2012 real GDP growth.
The World Bank foresees a broadly positive outlook for Rwanda, with growth projected at 7 percent in 2013 and 7.5 percent in 2014
. According to the report, this projection assumes gradual recovery of aid in the coming period. “The aid shock has demonstrated not only the Government’s prudent macroeconomic management capacity, but also the vulnerability of the economy to the volatility of aid”, said Yoichiro Ishihara, World Bank Senior Economist for Rwanda.

The World Bank

TANZANIA GDP ANNUAL GROWTH RATE
The Gross Domestic Product (GDP) in Tanzania expanded 6.70 percent in the second quarter of 2013 over the same quarter of the previous year. GDP Annual Growth Rate in Tanzania is reported by the National Bureau of Statistics (NBS) - Tanzania. From 2002 until 2013, Tanzania GDP Annual Growth Rate averaged 7.0 Percent reaching an all time high of 11.2 Percent in December of 2007 and a record low of 2.9 Percent in December of 2006. In Tanzania, the annual growth rate in GDP measures the change in the value of the goods and services produced by the country economy during the period of a year. This page contains - Tanzania GDP Annual Growth Rate - actual values, historical data, forecast, chart, statistics, economic calendar

Tanzania GDP Annual Growth Rate | Actual Data | Forecasts | Calendar
 
mzungu yupo tayari kutembeza papuchi uchi kuliko kuendelea kuuona unyama wa watusi

Picha liko mwishon Still Kagame ni Rais wa Rwanda ana miaka yake kama 6 or 7 hiv ya urais lazima ukubali kama Baamed kakubali ofa ya Kiloba tho alikua anataka savanna.
 
hii kaka ndo hoja unayotakiwa kuiweka mezani na sio kutufananisha na RUANDA, tatizo la TANZANIA ni tatizo la AFRICA, tunatakiwa tuongozwe na maraisi kama HITTLER, SAADAMM, GADAFI au MAO, vinginevyo tunapoteza mda tuendelee tu kuishi hivihivi,, SOUTHAFRICA unayoisikia leo inajengwa na makaburu bado waafrika wenyewe wanakula bata, ( si tabu mbeki wala zuma wote nafikili umesikia skendo zao).

Wasomi wote watanzania ni blahblah tu hawana jipya, vijana leo hii wako shule wanafikilia utajili, dada zetu wako vyuoni wanajiuza tunawaona!!!!
inatakiwa WATANZANIA tufe nchi ianze upya kaka...

Unamaanisha nchi iwe formatted libaki eneo tu?
 
Hili jembe la Africa tuache chuki zisizokuwa na maana.
Personally nimetembelea nchi yake on official business mtu asikudanganye jamaa wameibadilisha sana nchi yao.Actually naweza kusema wanakimbia wakati tutembea na hawana natural resources zozote uki compare na zetu.

Jamaa ana vision kubwa, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
We ni wizi wa Mali za Congo ndo maana anaona so kutoka huko.
 
Back
Top Bottom