majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
Mbelgiji aliwaconvince kuwa watutsi ni wazungu, sie wengine manigga, ndio maana ana attitude hiyo huyo cockroach.
siku zao zinakaribia
Mbelgiji aliwaconvince kuwa watutsi ni wazungu, sie wengine manigga, ndio maana ana attitude hiyo huyo cockroach.
siku zao zinakaribia
Kwan yupo pale kwa ajir ya kutengeneza urafik na marais ama kuwatumikia warwanda? Cheki takwimu kiuchumi kati ya jk mwenye marafik wengi vs pk ambaye mnasema hana marafiki
naipenda sana rwanda jamaa wako very strick..ukiambiwa endesha speed 40km/h, ukivuka inakula kwako, ukifanya ujanja ujanja ktk kulipa kodi inakula kwako....hawa jamaa hawana utani bana!
Mbelgiji aliwaconvince kuwa watutsi ni wazungu, sie wengine manigga, ndio maana ana attitude hiyo huyo cockroach.
Hahahahahaha ni wazungu weusi!!!!!! hata kama ukimdanganya mtoto hakubali
Mbona nawewe ni wa ukoo wangu? au kwakuwa wewe ni nyani mwenye kupewa matunzo ndani ya zoo? Pamoja na kuwa na shamba zuriii umewahi kulima? ama kila kukicha unaenda kuomba msaada wa ndizi wakati ardhi yako inauwezo wa kustawisha migomba ya kila aina? Kila mwaka pale Dodoma mnajiapiza kwa ahadi kibao zisizotekelezeka ooh mwaka huu lazima tutajenga hii adha ya kunyeshewa mvua itaisha! Wapi? Sisi Manyani tunashida Mkuu, kazi kuangaliana mikundu yetu na kuishia kuchekana, hatufanyi vitu vya maendeleo hata siku moja...Nyani mwenyewe na ukoo wako
bado anateswa na maneno ya tb joshua huyo.
ila kaitengeneza rwanda hakuna mambo ya kisanii sanii na rwanda inaendelea na afrika inahitaji viongozi wa aina hii ili tuendelee...kumbuka somalia...said bare toka ameondoka hakuna kitu....kumbuka libya, libya gadafi kaondoka hakuna kitu....misri....congo ya....mobutu....na kama..... Mugabe...... Akiondoka .....zimbabwe..... Nayo itakuwa hovyo....afrika tunahitaji viongozi wakali.....no mater how much it will cost...manake punda haendi bila ya........ Mjeledi ndivyo tulivyo......huu upuuzi wa demokrasia sio mfumo wetu....tumeletea ili tuibiwe.......
Kagame ana wivu sana
Hata na yeye ataondoka na kuiacha Rwanda ikianza kuporomoka.
Ndo maana anajishtukia. anahisi kila mtu ni adui.
Watamnasa tu.
Kweli kabisa hawana utani:
Ukisema chochote negative unapigwa risasi (kayumba Nyamwasa), mwandishi akiandika makala za kufichua ufisadi wa serikali anapigwa risasi, ukiwa chama cha upinzani chenye mziki mnene unachinjwa kabisaaa, ukiwa mhutu unataka urais unawekwa jela (ingabire)...Meanwhile, rais ananunua ndege mbili (binafsi, sio za serikali) za dola zaidi ya milioni 100, kwa ajili ya kutembelea wanae wanaosoma na kukaa marekani kwa fedha za umma, na akifika huko analala hoteli ya dola 15,000 kwa siku. hawana utani kabisa hawa jamaa.
sources: the dictator of the day (NYtimes), 3