Hayo ni maneno ya kujifariji tukubaliane na ukweli sisi mipango thabiti ya maendeleo wenzetu wametuacha hili suala la kuangalia ukubwa na wingi wa watu ni ujinga kwani Mungu aliliona hilo na ndio maana tukapewa rasilimali nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia.
hii kaka ndo hoja unayotakiwa kuiweka mezani na sio kutufananisha na RUANDA, tatizo la TANZANIA ni tatizo la AFRICA, tunatakiwa tuongozwe na maraisi kama HITTLER, SAADAMM, GADAFI au MAO, vinginevyo tunapoteza mda tuendelee tu kuishi hivihivi,, SOUTHAFRICA unayoisikia leo inajengwa na makaburu bado waafrika wenyewe wanakula bata, ( si tabu mbeki wala zuma wote nafikili umesikia skendo zao).
Wasomi wote watanzania ni blahblah tu hawana jipya, vijana leo hii wako shule wanafikilia utajili, dada zetu wako vyuoni wanajiuza tunawaona!!!!
inatakiwa WATANZANIA tufe nchi ianze upya kaka...