Kagame aizindua ndege kubwa AIR BUS 330-200

Kagame aizindua ndege kubwa AIR BUS 330-200

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,252
Reaction score
98,257
Pichani rais wa Rwanda Paul Kagame akiizindua ndege kubwa na ya kisasa iliyo nunuliwa na nchi hiyo hivi karibuni
1475750523038.jpg
 
Perezida Paul Kagame yasuye indege nshya ya rutura, iherutse kugezwa mu Rwanda na sosiyete nyarwanda ikora ingendo zo mu kirere.

Indege ya Airbus 330-200 yaguzwe akayabo ka Miliyari 200 z'amanyarwanda.
 
kagame mtu mbaya sana,yaani tumemchagua atushauri,katushauri tununue feni halafu yeye kumbe pembeni kaagiza bonge la ndege afrika mashariki hakuna nchi inayolimiliki?!!
 
N.B:ukinunua feni mbiki,moja ukashika kushoto ingine kulia,unafanana na bombadia,na kama.una mbio unaweza kupaa
 
We are on race,soon we'll reach where we wanna be.
 
Perezida Paul Kagame yasuye indege nshya ya rutura, iherutse kugezwa mu Rwanda na sosiyete nyarwanda ikora ingendo zo mu kirere.

Indege ya Airbus 330-200 yaguzwe akayabo ka Miliyari 200 z'amanyarwanda.
Duuuu mtani kumbe wewe ni mhamiaji wa kudumu?
 
kagame mtu mbaya sana,yaani tumemchagua atushauri,katushauri tununue feni halafu yeye kumbe pembeni kaagiza bonge la ndege afrika mashariki hakuna nchi inayolimiliki?!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti feni
 
Hivi na ulaya hasa ya magharibi na marekani marais , waziri mkuu wanashangilia kununua ndege? Africa for Africans
 
Ndio wamenunua sasa, inamaana hawakuwa nayo!
 
Back
Top Bottom