Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,289
Walikuwa nazo wameongezea
Ndio wamenunua sasa, inamaana hawakuwa nayo!
Ndio wamenunua sasa, inamaana hawakuwa nayo!
Zakuambiwa changanya na zakokagame mtu mbaya sana,yaani tumemchagua atushauri,katushauri tununue feni halafu yeye kumbe pembeni kaagiza bonge la ndege afrika mashariki hakuna nchi inayolimiliki?!!
Ndo unatangaza Biashara, kwa namna hiyo ya sifa.Msifie anaye stahili sifa
Perezida Paul Kagame yasuye indege nshya ya rutura, iherutse kugezwa mu Rwanda na sosiyete nyarwanda ikora ingendo zo mu kirere.
Indege ya Airbus 330-200 yaguzwe akayabo ka Miliyari 200 z'amanyarwanda.
Miaka hamsini tulikuwa wapi tunakuja kujifanya kuwa tupo kwenye race leo???![emoji30]We are on race,soon we'll reach where we wanna be.