Ni mchapa kazi mzuri kwa watakao muweka, na ndiye anajua siri nyingi za viongozi kuhusiana na madini yetu na kutoboka kwa mifuko ya Tanesco. Mungu ibariki TanzaniaTaarifa za uhakika ambazo kwa siku kadhaa nimekuwa nazifanyia kazi zimethibisha kwamba Kafumu anachukua kiti cha Ngeleja na any minute Mkulu anafanya changes .Nyeti zinamwagwa kwamba Kafumu ndiye haswa anayetakiwa maana anaijua vyema wizara na mchakato wao madinji na mambo yao wenyewe .
Jana nimemuona Kafumu anaingia madini na kupelekea mlinzi kuacha kazi ya kuongea na wateja akiwa anamshangaa Kafumu na mkoba wake anatinga wizarani .Lakini pia nilishangaa kwamba Kafumu hakuandika jina lake kama mgeni na alipita hata bila salaama kwa mlinzi yule na wengine pale as if alikuwa alikuwa anaingia ofisini kwake kawaida japokuwa wana tabia ya kutosalimia wateja wao hadi wafuatwe ofisini .
Source ni Lunyungu at work .
Taarifa za uhakika ambazo kwa siku kadhaa nimekuwa nazifanyia kazi zimethibisha kwamba Kafumu anachukua kiti cha Ngeleja na any minute Mkulu anafanya changes .Nyeti zinamwagwa kwamba Kafumu ndiye haswa anayetakiwa maana anaijua vyema wizara na mchakato wao madinji na mambo yao wenyewe .
Jana nimemuona Kafumu anaingia madini na kupelekea mlinzi kuacha kazi ya kuongea na wateja akiwa anamshangaa Kafumu na mkoba wake anatinga wizarani .Lakini pia nilishangaa kwamba Kafumu hakuandika jina lake kama mgeni na alipita hata bila salaama kwa mlinzi yule na wengine pale as if alikuwa alikuwa anaingia ofisini kwake kawaida japokuwa wana tabia ya kutosalimia wateja wao hadi wafuatwe ofisini .
Source ni Lunyungu at work .
kondoo hata akiwa na maandishi ya kiarabu ni kondoo.
Hamna mabadiliko tutakayo yaona, hadi CCM ing'oke madarakani
Yule fisadi aliyetumia posho za madini kununua kura Igunga?
Lunyungu unadhani Uwaziri ni mtu anapewa tu?nafasi zingine zinahitaji utashi wa kisiasa na baraka za "wakubwa"
Je wamekubali?
kondoo hata akiwa na maandishi ya kiarabu ni kondoo.
Hamna mabadiliko tutakayo yaona, hadi CCM ing'oke madarakani