Kafulila si mbunge wa mahakama tena

Kafulila si mbunge wa mahakama tena

nccr mageuzi wamekomaa sana kisiasa

hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza nccr kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera david kafulila jembe la mwisho wa reli

n.c.c.r wanaogopa kupunguza ruzuku.na hicho ndicho kitakachoigharimu!

Chadema ni lazima ijitofautishe na c.c.m, n.c.c.r,cuf na vyama vingine uchwara. Ili iweze kushika dola vizuri.
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

Imewachukua muda gani kufikia mufaka tangu tatizo litokee?

Simuoni ZZK kama amejiandaa kwa hilo.

Alafu ishu ya Kafulila inatofauti kabisa na ya ZZK. Kafulila alitangaza live msimamo wake? Wakati ZZK aliandaa makakati wa siri na kuendesha propaganda za kuwachafua viongozi kwa siri.

ZZK alitumia watu kadhaa na kuwapa majina bandia, Kafulila alikuwa mlopokaji wa kila alichokikusudia.

Kafulila alifutwa uanachama, ndipo akaenda mahakamani, ZZK kasimamishwa uongozi ndipo, akaenda mahakama kuzuia asijadiliwe, na mahakama imezuia asijadikiwe. Maana yake hata suluhu haiwezekani hapa kwa amri hii ya mahakama, hadi ZZK afute kesi kitu ambacho ni ndoto.

ZZK anatuhumiwa kutumiwa na CCM, tofauti na Kafulila aliyekuwa akituhumiwa utovu wa nidhamu.

Kama kweli ZZK anatumiwa, ni vigumu kupata suluhu hadi ametimiza malengo ya bos zake. Pia ni hadi CDM wajiridhishe kuwa ZZK hatumiwi, bali ulikuwa tu uchu wa madaraka, jambo ambalo pia ni gumu kutokana na vielelezo na mienendo ya ZZK vilivyo machoni pa CDM!
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

Kafulila amejawa na uwoga na ameshindwa kusimamia msimamo wake..... ndo tatzo viongozi wa mkoa wa kigoma ni vigeugeu sana. Hapo utakuta amefilia ubunge ataukosa akaona bora aombe msamaha. Kiukweli hawa si wakuaminika wanaweza kuuza ata nchii yetu. Binadamu wa aina hii wanakewa sifa.
 
Hata kama ni kama ni kauka niuvae lakini mwenyekiti wao Mbatia toka aingie bungeni ameonesha umakini wa hali ya juu na amepandisha hadhi ya chama chake. Nawapongeza kwa kweli.

ebu tufafanulie vizuli huo umakini maana wengine hatujaujua.
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

Vyama visivyo na Nguvu ya kutikisa na kukisumbua chama chetu cha mapinduzi ndicho cha kukisifia. Hicho cha CHADEMA lazima tukiponde kama ndugu yangu Lukosi anavyofanya kila anapozungumzia CHADEMA. Vyama vinavyotarajiwa hapo mbeleni kuchukua dola according to Bw Lukosi ni NCCR Mageuzi, TLP, PPT Maendeleo, CHAUSTA na mwisho kwa umuhimu CUF.
 
Ccm hakunaga vitu kama hivi vya kunyanganyana ubunge no vyama vya ruzuku tu ndo vinagombania hii makitu
 
Vyama visivyo na Nguvu ya kutikisa na kukisumbua chama chetu cha mapinduzi ndicho cha kukisifia. Hicho cha CHADEMA lazima tukiponde kama ndugu yangu Lukosi anavyofanya kila anapozungumzia CHADEMA. Vyama vinavyotarajiwa hapo mbeleni kuchukua dola according to Bw Lukosi ni NCCR Mageuzi, TLP, PPT Maendeleo, CHAUSTA na mwisho kwa umuhimu CUF.
teh teh, mbavu zangu mie!
 
Nawapongeza sana tena sana NCCR- Mageuzi, wamedhihirisha kuwa Demokrasia kweli kwao ni ngao ya chama kuliko hawa "peoples........., hawawezi kushindana na na Ngangali.
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

kafulila alia huku akidondosha kamasi zito mbele ya cc ya nccr. Kwa maneno mengne alijutia. Huyu wa kwetu zzk ni karume kenge hataki kwenda shule,yeye ni yeye,ni msomi peke yake,ni kiongozi mjanja. Hatutarudi nyuma,akiruhusiwa kubaki cdm mi nitakuwa wa kuanza kurudisha kadi na kuchukua ya adc
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

Chezea mtu kuhongwa ubunge wewe! Mbatia oyeeeee
 
Zitto aondoke no suluhu chadema ina hazina za kutosha kifo na usingizi na nccr mageuzi
 
Mtaisifia sana NCCR MAGEUZI lakini ukweli nikuwa CHADEMA ndio chama cha upinzania kuibana serikali ya CCM vilivyo sana na ndo chama upinzani kilichoshinda hujuma dhidi ya mafisadivwa nchii hii. Mtaichukia sana lakini ukweli utabaki ktk historia. Na njue kabsa historia ndo itakiangamiza chama cha Mapinduzi.

mkuu umesau?NCCR ni CCM C
 
Huo mchezo umechezwa kwa gharama kubwa ilimradi kumnusuru Zitto,

Kafulila wewe umechezea shulingi chooni, umerudishwa kwa turufu ya Zitto kukurudishwa kundini?

Pole sana
 
Zitto njoo huku NCCR tufanye kazi hakuna matatizo kabisa. 2015 rais atatokea Kigoma
 
mambo ya NCCR ni yao wenyewe na mambo ya CDM ni ya cdm wenyewe. huwez ukawa na uendeshaji wa chama kwa kuiga, CDM inaongozwa kwa kufuata katiba ya chama.
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

Kwa taarifa tu ni kuwa Kama hakitakufa basi Mhe. Mbatia atabakia mwenyewe maana nao wameanzisha Chama chao. CDM itakuja kuchukua nchi, subiri mgogoro wa ccm utakavyokipasua Chama.
 
Ubunge wa mahakama wa Kafu.lila D.avid ulikoma siku M.batia alipopata ubunge wa kuteuliwa aka viti maalum,hii ni deal iliyochongwa na zzk mwenyewe.
 
nina uhakika kauli yaho hata mwenyewe unajua haina mashiko,je ni dhambi kusimamia kanuni na traratibu?na je ni lazima vyama vyote viwe na mfumo sawa wa kutatua matatizo na je kosa la kafulila na zitto ni sawa?

Back
Top Bottom