Kafulila si mbunge wa mahakama tena

Kafulila si mbunge wa mahakama tena

umenikumbusha mbali,halafu wakati wa sakata la kafulila ccm kimya sijui kwa zitto watakosa nini
kafulila alia huku akidondosha kamasi zito mbele ya cc ya nccr. Kwa maneno mengne alijutia. Huyu wa kwetu zzk ni karume kenge hataki kwenda shule,yeye ni yeye,ni msomi peke yake,ni kiongozi mjanja. Hatutarudi nyuma,akiruhusiwa kubaki cdm mi nitakuwa wa kuanza kurudisha kadi na kuchukua ya adc
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

Kuwakumbatia wasaliti,hilo halipo kamwe....
 
Likes Received1619
Likes Given1606
the rare of receiving likes and giving is the same..probably you have got a common group in jf..tafiti ndogo

NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

------- ww,huwezi kuongea bila kuitaja chadema?
 
Team CCM wameungana kuimaliza CDM, hakuna kitu kinacho suluhishwa na kupata baraka za mahakama bila kujulikana. Mbatia + Lyatonga + Cheyo = CCM
 
NCCR Mageuzi wamekomaa sana kisiasa

Hiki ndio chama pekee cha upinzani ambacho kityakuja kushika dola hapo mbeleni.

Nawapongeza NCCR kwa kuonyesha uadilifu na ukomavu wa kisiasa.

Hongera David Kafulila jembe la mwisho wa reli

Nenda NCCR halafu uondoke
 
Team CCM wameungana kuimaliza CDM, hakuna kitu kinacho suluhishwa na kupata baraka za mahakama bila kujulikana. Mbatia + Lyatonga + Cheyo = CCM

Mkuu mbona umekimbilia mbali hivyo, Mbatia alipewa ubunge na JK lengo kuua CDM
 
Hata kama ni kama ni kauka niuvae lakini mwenyekiti wao Mbatia toka aingie bungeni ameonesha umakini wa hali ya juu na amepandisha hadhi ya chama chake. Nawapongeza kwa kweli.
Hapo ndipo umakini wa CHADEMA unapoonekana, kwamba hawategemei kiongozi au mtu mmoja fulani kuwepo bungeni au kwenye position fulani ndio chama kiwe maarufu. Kwa maandishi yako umemaanisha kwamba bila Mbatia bungeni NCCR isingekuwa maarufu. Kule CHADEMA, kuna majembe yapo nje ya bunge kuliko idadi ya yale ya bungeni, na chama bado kinawanyima usingizi akina Mwigulu na vifaranga vyao
 
Kwa mujibu ya taarifa ya
habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi
umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si
mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya
mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa
Zitto.

hapo unatakiwa utoke nnje ya box zitto ameshakubaliana na nccr anaenda huko! Kwani kgm ndo nccr! Connect dot why nw?
 
Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama

My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na mgogoro wa Zitto.

hatuwezi kupatana na wasaliti labda Mungu amsamehe shetani kwanza..
 
Kwa suala la Zitto Kabwe hakuna haja ya kutafakari, CHADEMA wangekuwa mbali sana kama wangemgundua huyu mtu mapema na kumtimua.....anagalia mwenendo wa huyu kijana wa Kigoma tangu wakati wa uchaguzi mkuu uliopita na baada ya uchaguzi ameshiriki katika movement zipi na ngapi katika kuidhibiti serikali ya CCM!? Fuatilia malalamiko yake baada ya uchaguzi kuwa CHADEMA wamedokoa mawasiliano yake na Mh. Rais Kikwete......au wengi wenu mlikuwa bado watoto katika siasa za Tanzania au milipofushwa na zawadi za kanga na chumvi....hilo sina hakika nalo au ndo mwendo wa mavi ya jana hayanuki japo yanachafua mazingira na kuleta magonjwa mvua inyeshapo...ha ha ha ha NIMEPITA TU KUWAKUMBUSHA TULIPOTOKA...
 
Hata kama ni kama ni kauka niuvae lakini mwenyekiti wao Mbatia toka aingie bungeni ameonesha umakini wa hali ya juu na amepandisha hadhi ya chama chake. Nawapongeza kwa kweli.

Mbunge wa viti maalum vya rais
 
Chadema wakiweka uchagga na udini pembeni suala la zitto jepesi sana
 
.ni nzuri kukaa chini na kumaliza matatizo kuliko kupigiana kelele hadharani......
 
Back
Top Bottom